So you mean Satan was in the garden alone with Eve who was naked and all he could think of is to deceive her to eat an Apple[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
That nigga is gay...
Kama una ndugu yako amemaliza form six na yuko home, anajua kuongea Kiswahili na Kiingereza na yuko tayari kufanya kazi kwa mshahara wa shilingi laki 8...
Msalimie sana na umwambie tupo pamoja...
East Africa kushuka mpaka South Africa tunapenda sana pombe, mkombokti anapendwa si wanaume wala wanawake. Usishangae kukuta mtu anaamka asubuhi na kuanza siku kwenye grocery.
Tofauti na...
Kama uliwahi kujipaka mate machoni ili uwonekane unalia basi wewe ni muhenga
Kama ulikua ukiosha unaanikwa Juani ili ukauke basi wewe pia ni Muhenga
ndo ivo jamani
Heshima kwenu Wakuu.
Ikiwa Leo ni siku ya pili ya mwezi wa saba, siyo vibaya tukafanya analysis ya watu walioshika vichwa vingi vya habari humu JF kwa kuzungumziwa sana.
Watu hawa wanaweza...
Habari za mishe wadau!!!!!
Hivi huyu member mwenzenu aitwaye Ray.mond ubongo yake imepatwa na hitilafu gani???!!!!!!!!!!???? Nikama kavurugwa kupita kawaidaaaa tena kavurugwa kotekoteeee...
My sister stop asking guys what they do for a living, they will lie,,, just take them to bed and count how many round they can go
1 round - rich guy
2 rounds - doing well in life
3rounds -...
MWANAMKE: Mpenzi, nakuomba uache kulewa
MWANAUME: Poa, na wewe acha kutumia make up
MWANAMKE: Mimi napaka make up ili unione mzuri
MWANAUME: Na mimi nalewa ili nikuone mzuri
Pombe ni noma…
Toka kaskazin mpaka kusini,mashariki mpaka magharibi naomba niwasalimu wana MMU wote!
Bila shaka kichwa cha habari kimesheheni maudhui ya matini hii.Nianze kwa kuorodhesha baadhi ya vitu hivyo ni...
Hivi nyie mnao andaa sherehe za harusi hapa dar ,kwa nn mnapenda kutulisha kuku za siku 10 , ???
Unakula kuku laini kama samaki mchanga ,
Jifunzeni basi ,,,mbina nyie mkija huku mikoani tuna...
Mtoto Ma asha Allah, nakupenda sana , Sheila naomba tuanzishe safari pamoja, nateseka sheila juu yako, inafikia kipindi usiporipoti habari kwa siku nachukia sana
Nadhani upo humu, hata kama haupo...
kama ilivyokawaida kwa nyuzi maalum hazijawahi kumuacha mtu salama.
basi tukutane hapa kwenye maswali na majibu ya ki Chit Chat
uliza swali lolote ukianza na neno Hivi ni kweli?? na usubiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.