Habari waungwana,
Kuna jamaa mmoja anaitwa panju wapanjuani kiukweli mimi huwa ananikera sana kwa kitendo chake cha kubana sauti. Huku ni kuwadhalilisha wanaume kwa kubana sauti , tushazoea...
Rais Magufuli amesema .. MIGODI imetuibia MAPATO ya Tsh Trillion 108.
Amesema hizo hela Tuzidai .. Na kuna tetesi zikipatikana zitagaiwa sawa kwa Raia Watanzania wote million 50.
Hapo kila...
Wasalaam wakuu, hili jambo nimelifanyia uchunguzi wa kina na kwa muda mrefu sana. Na leo nimekuja na hitimisho kuwa ni kweli humu Jf kuna majini. Na ntaziweka ID zao punde. Kama mbwaimbwai tu...
Leo nikiwa Mbeya nikakutana na mtu amempa jina mwanae *'Atuacacia Mwamakinikia*
Wanyakyusa wapo very updated kwenye majina
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ni kwa wanaume ila mwanamke anaweza kusoma na kujifunza kuwa wanaume wote ni waaminifu.
Mwanaume mmoja alienda kukata miti kwa ajili ya mkaa, bahati mbaya panga likadondokea mtoni, akaanza...
Sijui Kama ushawahi fall in love ile haswaa… yaani unampenda mtoto hadi akikupigia simu ile sauti ilivyo tamu unajiskia kutafuna na kuimeza hiyo simu.
Akikuita tu "my love" unajiskia tu kuvua...
Ni kwa kutokuwa mzalendo hasa alipokuja bwana "tothorn" kumsalimia Yohana kwenye makazi yake.
Huyu bwana (ras simba) ana kanuni yake moja hivi ikitumika humuwezesha mtu "kutema yai balaa"
Sasa...
Juzi nilikuwa nachenjua makinikia guest house na acacia wangu Mara ghafla nyoka akapita pembeni acacia wangu akapiga kelele muhudumu akaja na watu wakajaa Sana imesemekana nilikuwa nachenjua Bila...
Tigo walipobuni promotion ya Halichachi washindani wake wakaja na promotion kama hiyo, wakapindisha pindisha maneno. Sasa tigo wamekuja na Jaza Ujazwe. Washindani wamebaki vinywa wazi hawana...