JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimefanya kautafiti kwa muda wa miezi mitatu iliyopita nimegundua wadada wanavaa sana T-shirt zilizoandikwa "Ball" nyuma na mbele. Bado cjajua kinachowavutia ila muda ndo utatupa majibu. Jana...
0 Reactions
11 Replies
946 Views
Wiki iliyo pita niliwahoji wadada kuhusu sifa za mume, wao kwa kuwa imethibitika kuwa ni watu wasio na msimamo japo si wote, niliwataka waweke sifa kuu moja. Sasa leo zamu yetu vidume. Sasa kwa...
6 Reactions
98 Replies
5K Views
Oi kwa wale popo wazee wa kukesha tuna salaam kwa uwependao au hates. Mwisho watu watano(5). -Natuma salaam kwa Bibi yangu mpendwa nimekumisi sana bibi nikija nakuletea ugoro -Natuma salaam kwa...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Baba kamuuliza mtoto wake Baba. "Mwanangu eti BIBILIA kwa kiingereza inaitwaje? Mtoto. "GRANDMOTHER CRY" saizi mtoto anakichezea kichapo.. Yupi yuko sahihi..hapo
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Hii tabia mmeanza lini yakulock PM na kwanini mnafunga profile za akaunti zenu au mna wapenzi wenu humu mnaogopa watatuma watu kuwatest kama ni maharage ya mbeya ama la.Je hamuoni kuwa ni...
14 Reactions
1K Replies
50K Views
Kama wewe hukupitia hizi mambo basi mwenzetu ulikosa uhondo..Kwa tuliosoma shule zetu zile msijifanye mmesahau hebu tujikumbushe kidogo..... (Kwa sauti ya kale kawimbo) a b c d e f g h i...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Harusi ni sherehe moja mhimu hasa ukizingatia kumbukumbu inayoachwa kati ya wapenzi hao wawili. Harusi inapogeuka kituko basi ikumbukwe kua hilo pia haitasahaulika maishani mwako na pengine wale...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
MWACHE MCHAGGA AITWE MCHAGGA Jamaa mmoja toka kiboriloni alienda Benki na kuomba mkopo wa shilingi 200,000 ili asafiri kwenda Dar. Ofisa mikopo akamwambia lazima ajaze fomu fulani na awe na kitu...
5 Reactions
17 Replies
3K Views
0 Reactions
12 Replies
2K Views
leo nimeenda kusaga mahindii nikamuita we msagajii nashangaaa niko nyumbn majirani wanaulizan yule jamaaa ndo anaroho mbaya iviiii cjuii kuna nn kinaendelea mie nimelal zangu ndani cwez...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Inakuwaje una appointment na mjamaa wako alafu unavalia chupi nyeusi tiii hamjui mnakera jamani.hata taiti nyeusi zote ni kerooo!!!
4 Reactions
155 Replies
42K Views
```=KISAIKOLOJIA = ...Ukimfumania mpenzi wako yupo na mtu mwingine wana FANYA MAPENZI, ...USIKURUPUKE ...Kaa pembeni uangalie vizuri ili ujue UNAKOSEA wapi kwake UJIREKEBISHE sio kuachana nae...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Huyu kanaswa Mubashara mchana kweupe
0 Reactions
4 Replies
1K Views
*THE VENEX INTERNATIONAL SCHOOLS* Hii ni shule ya wajerumani ambayo wameianzisha tanzania katika mikoa 10 (DSM,,MOROGORO,,DODOMA,,MBEYA,,IRINGA,,SINGIDA,,MWANZA,,,,KAGERA,,GEITA KILIMANJARO NA...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
*Umoja Wa ma Boyfriend wasumbufu Tanzania(UBOTA)...Tunapenda kuwatangazia wana chama wetu kua bado kauli mbiu yetu ni ile ile "ntakuoa mwakani"*..........
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Evening Great Thinkers.Yani Nimefunga Siku 4 Kidogo Nife Mabega Yanauma Ikifika Saa Nane Navuta Stimu Za Utamu Wa Ugali Na Samaki Samahani Jf Kwa Niliowakwaza Kuji Express.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakurya watatu wakiwa kwenye daladala... Mkurya wa kwanza.. "dereva sukisa mimi hapa.. Mkurya wa pili... "inaonekana una chinda ya maneno dugu"... Mkurya wa tatu.. Huku akicheka "wewe bana jeka...
3 Reactions
29 Replies
4K Views
Kilicho tokea leo... Kuna jirani yaani anaumwa sana sasa akaomba aitiwe mganga wa kienyeji..mganga kaja na kumwambia kuwa hawezi kupona ugonjwa wake labda tu huo ugonjwa wa uhamishe kwa mtu...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom