JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
*Pale unapo weka CD ya X kwenye deki alafu ghafla umeme unakatika! hapo ndo pale unapo jikuta ukitembea na deki kwenye begi kama laptop [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*
22 Reactions
48 Replies
9K Views
Sitaki kupoteza mda wenu kwann haya maneno ni marufu sana humu ndan, kwanini menyewe ndo yapate umarufu kushinda mengine Maneno menyewe ni Papuchi Kipoch manyoya Bashite USA BABY Nawasilisha...
1 Reactions
41 Replies
3K Views
Jana nimmesikia kaka anasema baba nimepata mchumba ila uko mtaa wa pili sio mbali na nyumbani, Basi baba akamjibu bro hongera mtoto wangu ehe! Yukoje [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ila una...
0 Reactions
4 Replies
821 Views
Katika maisha yetu hapa duniani kuna vitu ambavyo tumeumbiwa na ni lazima tuvifanye, Mfano: Kula, kulala,kuoga n,k Sasa kuna vingine huwa tunafanya tu kwasababu ni lazima ila hatuvipendi sasa...
6 Reactions
304 Replies
16K Views
Je...... Damu zao zimeendana? Wameridhiana Kimahaba? Wana Mapenzi ya dhati? Hawajadanganyana kama sisi Mangumbaru / Hohehahe wengine tunaorukaruka tu? Wamerogana na labda Uchawi au umegongana...
2 Reactions
157 Replies
8K Views
:DHabari zenu wakuu,natumaini mna afya njema kabisa na tunaendelea vizuri na mfungo. Sasa hapa naomba tutaje vitu vyote visivyoacha watu salama maana naona vimezidi sasa tuvimalizie hapa ili...
6 Reactions
131 Replies
11K Views
Jaman kuna voice recorded inasambaa mitandaoni sauti yangu ikimtongoza Nick Minaji please puuzen ni watu tu wanataka kushusha hadhi yangu [emoji36][emoji36][emoji36]
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Wadau kuna sound klip moja ya kijinga sana mbapo mshkaji mmoja anaongea vitu kama yupo serious lakin vtu havirelate Anasema "upepo... mwenyewe umekaa pale unacheka vhini unakuta feni inazunguka...
0 Reactions
7 Replies
957 Views
Kuna kipindi maisha yanakuwa magumu mpaka unajiuliza au ni zile meseji ulikuwa unaambiwa uwatumie watu kumi unapuuza [emoji23][emoji23][emoji23]
1 Reactions
4 Replies
923 Views
Habari zenu, Kama kuna mtu anakifahamu chuo cha maktaba bagamoyo na anamawasialiano ya hiki chuo naomba anisaidie. Au kama applications zishaanza anijuze . Almaarufu ( slads).
0 Reactions
5 Replies
837 Views
*TANGAZO! TANGAZO! TANGAZO!* ```Kama unaye ndugu yako amehitimu chuo, na kwamba yuko tayari kufanya kazi eneo lolote nchini kulingana na taaluma yake kwa mshara zaidi ya 2m/=, msalimie sana.```...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
0 Reactions
7 Replies
943 Views
.., nyumbani kwako unatumia kibatari, unatumia taa ya kandili (chemli), hauna gari na hata pikipiki..., bado unasherekea 'annual Motor vehicle Licence fee' kuhamishwa kama tozo kwenye bidhaa za...
4 Reactions
6 Replies
918 Views
No1: A man was so jealous of his newly born baby that he put poison on the wife's nipples while she was asleep. The next day their driver died of poisoning. No 2: A man is dying of cancer, but...
0 Reactions
4 Replies
713 Views
Kila nikijaribu kuingia kwenye JF Live chart napata black screen na siwezi ku access chart. Naombeni msaada wenu jamani Wabeja sana
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Awe mbinafsi kufuru,si lazima awe mzuri,awe mdokozi pia muhimu zaidi awe ameshawahi kusutwa mara kadhaa.
0 Reactions
9 Replies
947 Views
Listening is the best part about teaching. When you listen and let someone express what they feel, you are a million steps better than someone who shouts things in to another's brain hoping they...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nasikia eti ukimcheka mtu yeyote Mungu anakuadhibu unafanana naye hasa kwa kipato alicho nacho: Mie ngoja niwacheke hawa wafuatao: hahahaahahah Mohamed Dewji tehe tehe tehe Trump hahahahahahahaha...
11 Reactions
102 Replies
5K Views
Back
Top Bottom