JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari zenu wapendwa na poleni na mihangaiko. Jumamosi iliopita nilienda kwa rafiki yangu na nikakuta wanauza vipaka vyenye takribani wiki mbili toka vizaliwe, Vile vipata vina rangi nzuri...
1 Reactions
31 Replies
7K Views
Awamu hii tunajifunza mengi sana!! Viongozi wetu ukiwauliza hiki wanakujibu kile!! Kwa mfano waziri wa viwanda ukimuuliza maendeleo ya viwanda walivyoahidi anakujibu vyungu vya kukaangia karanga...
11 Reactions
106 Replies
10K Views
Chit chat... Tumezoea humu jf sio kam facebook au insta kila kitu ndiyooo kam watu wanafahamiana,huwa hawaaibishani just like kam bungeni.ila sisi huku jf huwa watu,wanajibu comments hovyo wengine...
0 Reactions
37 Replies
2K Views
Unaweza ukakopa pesa ya ada ya mtoto, ukampa mkeo ili akalipe kisha ye anakwenda kununua wigi. Akili zao wanzijua wenyewe tu.
1 Reactions
15 Replies
1K Views
guest-1790917349
I salute u all!!!? back to topic jamani leo nilikua busy na babe wangu kwa muda, hatukutaka usumbufu kwa namna moja au nyinngine, ukizingatia leo cku yake muhim ya kumbukumbu ya kuzaliwa...
4 Reactions
56 Replies
3K Views
Kama mada inavyo jieleza kuna ubaya wowote mwanaume kupewa pesa za kutumia na mwanamke. Maana napata wakati mgumu kuchukua pesa anayo nipa dem wangu ingawa napenda pesa..naogopa kutangazwa bure..
0 Reactions
26 Replies
3K Views
PUMZIKO LYRICS BY LADY JAY DEE Mwambie wataka kuja Huru apate kuachia Maamuzi yako upange Bila kuwa wake upande Huoni we wateseka? Kwake u kama mateka Wahitaji pumziko Nipo kwa ajili yako Njoo...
3 Reactions
216 Replies
15K Views
*Kumbe bangi haina madhara...nimetoka kuvuta pafu moja nipo fresh kabisa bila tatizo..saivi nimekaa juu ya tv naangalia makochi* [emoji4][emoji4]
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Kitambo tukiwa watoto ulikuwa unaitwa uje ule kwa lugha tofauti kulingana na chakula kilichopikwa siku na muda husika 1. UGALI NA KUNDE Mwitaji : sumaaa Mwitikiaji : Eeeh Mwitaji : Uje...
7 Reactions
7 Replies
1K Views
Je nk disco sound?au paradise cinema?rerwe club?disco Toto dodoma inn airport? VP wale wababe wa mjini?mpira VP team zetu za Dundee?Waziri mkuu?viwanja vya barafu..kinyonga street mji Mpya? Au...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Serikali kupitia waziri wa nyumba na maendeleo ya jamii imewaagiza wamiliki wa nyumba za kupanga kuwa ifikapo tar.01-07-2017 bei ya chumba itapunguzwa hadi kufikia nusu ya bei ya awali. Yaani kama...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wapendwa naomba mnijuze, hivi mtandao wa tigo wamefuta ile huduma yao ya "halichachi"? NImejaribu kubonyeza nyota 148 nyota 00 reli ili nipate hiyo option lakini siioni!!!!
2 Reactions
66 Replies
6K Views
Siku yangu ya ndoa ntatia saini kwenye cheti cha ndoa kwa penseli✏siwez kuingizwa ktk matatizo kijinga kijinga mm☹ akizingua tu nafuta
13 Reactions
89 Replies
6K Views
Siku ya leo sema Ahsante kwa mtu yoyote aliyekufanyia jambo au kitu kizur katika maisha yako na mpk sasa hivi uko hapo ulipo mimi nasema Asante kwa Mungu aliye nilinda mpk saiz napumua nasema...
0 Reactions
10 Replies
897 Views
Nakumbuka mwezi wa 4 mwaka huu katika pitapita zangu hapa jf nikakutana na bandiko la mdada mmoja anatafta mwenza wa maisha akaweka vigezo vyake vyote na mwishoni akasema awe mchapakazi,basi...
3 Reactions
91 Replies
7K Views
Je nikitu gani ambacho kiliwai kukutoa ushamba katika maisha yko unacho kikumbuka.. Mimi ni pikipiki ilinitoa ushamba sana hicho kitu enzi hizo lakin weka na chako twende sawa
2 Reactions
187 Replies
13K Views
BREAIING NEWS Kwa wahitimu wote wa kidato cha nne mwaka 2016 Prof.Joyce Ndalichako kupitia balaza la mitihani (NECTA)Rasmi ametangaza uteuzi wa majina ya wanafunzi walochaguliwa...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamaa aliokota wallet, alipofika nyumbani akapiga simu kwenye radio station "naitwa Juma nimepiga simu kutangaza kuwa nimeokota wallet ndani ina laki7, ATM card na karatasi yenye PIN ya ATM card...
1 Reactions
8 Replies
905 Views
Back
Top Bottom