Kama ulikuwa unadhani kuwa Couple ambayo inatishia tu amani humu JF ni ile ya The bold na Nifah pekee utakuwa umekengeuka / umepotoka kabisa kwani kwa siku za hivi karibuni kumeibuka Couple mpya...
Habarin wakuu,
Najua watu tunajifunza mambo mengi mazuri kuhusu maisha kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii. Kupitia uzi huu tujuzane mitandao mingine yakijamii tunayo ifahamu mbali na Twitter...
*Dada mmoja kachoka vituko vya mumewe akamwambia 'bora ningeolewa na shetani kuliko wewe'...mumewe akajibu 'dini haziruhusu mtu kuolewa na ndugu yake'...* [emoji23][emoji23][emoji23].
Nimatumaini yangu wote ( Jf members) mpo vema.Leo tuhamishe mawazo yetu kidogo toka kwenye siasa na kufikiria vitu vingine tofauti na siasa.Binafsi siasa za hapa kwetu (Tz), zina nichosha day...
Habari zenu wana jukwaa..!! Poleni na shughuli za ujenzi wa taifa. Leo naomba iniwekee misemo uliyowahi kukutanana nayo ikakufurahisha, kuchekesha au ilikushangaza..
Mimi naanza na huu hapa...
Kama kilivyo kichwa cha habari hapo juu bila kupepepesa macho KAMPUNI YA ACACIA YAIJIBU SERIKALI..
Kampuni ya ACACIA inayomiliki mgodi wa Bulyanhulu imekiri kupokea kiasi cha Trilioni 217.23 kama...
Naomba mnijuze kama kuna ubaya kumwambia mtu aliye hai hilo neno la rest in peace (r.i.p) maana navyo jua tafsiri yake ni pumnzika kwa Amani.
Jana nilimuuliza demu wang anafanya nn usiku akasema...
Naomba mnijuze kama kuna ubaya kumwambia mtu aliye hai hilo neno la rest in peace (r.i.p) maana navyo jua tafsiri yake ni pumnzika kwa Amani.
Jana nilimuuliza demu wang anafanya nn usiku akasema...
Weng mlikua hamjui maana ya neno bangi sasa leo ngoja niwape maana yake halisi.
Bangi ni jani la mgomba linalochanua kwenye mbuyu kupitia treni kabla hujaumwa kwenye mafuta ya samaki na kupokea...
*[emoji117]Braza.....*
Ushawahi kukutana na mwanamke anakwambia anasomaga Chuo halafu anakutumia text inasomeka hivi....
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
"Za hasubui Lichadi,Humehamkaje...
Hali zenu wapendwa [emoji2].
Nianze bismillah....
Nilijiunga jf miez michache tu iliyopita,nashkuru nimejifunza mengi kupitia jf,pia wapo waliojifunza kutoka kwangu japo ni machache.
nilijiunga...
Haya maneno yamekuwa yakitumiaka sana humu jukwaani na kwingineko,huwa nashindwa kuelewa huwa wanamaanisha nini wanapotumia maneno haya kwa sisi tuishio mjini hapa?