Nimefanya kautafiti kwa muda wa miezi mitatu iliyopita nimegundua wadada wanavaa sana T-shirt zilizoandikwa "Ball" nyuma na mbele. Bado cjajua kinachowavutia ila muda ndo utatupa majibu. Jana...
Wiki iliyo pita niliwahoji wadada kuhusu sifa za mume, wao kwa kuwa imethibitika kuwa ni watu wasio na msimamo japo si wote, niliwataka waweke sifa kuu moja.
Sasa leo zamu yetu vidume.
Sasa kwa...
Oi kwa wale popo wazee wa kukesha tuna salaam kwa uwependao au hates. Mwisho watu watano(5).
-Natuma salaam kwa Bibi yangu mpendwa nimekumisi sana bibi nikija nakuletea ugoro
-Natuma salaam kwa...
Baba kamuuliza mtoto wake
Baba. "Mwanangu eti BIBILIA kwa kiingereza inaitwaje?
Mtoto. "GRANDMOTHER CRY"
saizi mtoto anakichezea kichapo..
Yupi yuko sahihi..hapo
Hii tabia mmeanza lini yakulock PM na kwanini mnafunga profile za akaunti zenu au mna wapenzi wenu humu mnaogopa watatuma watu kuwatest kama ni maharage ya mbeya ama la.Je hamuoni kuwa ni...
Kama wewe hukupitia hizi mambo basi mwenzetu ulikosa uhondo..Kwa tuliosoma shule zetu zile msijifanye mmesahau
hebu tujikumbushe kidogo.....
(Kwa sauti ya kale kawimbo)
a b c d e f g h i...
Harusi ni sherehe moja mhimu hasa ukizingatia kumbukumbu inayoachwa kati ya wapenzi hao wawili. Harusi inapogeuka kituko basi ikumbukwe kua hilo pia haitasahaulika maishani mwako na pengine wale...
MWACHE MCHAGGA AITWE MCHAGGA
Jamaa mmoja toka kiboriloni alienda Benki na kuomba mkopo wa shilingi 200,000 ili asafiri kwenda Dar. Ofisa mikopo akamwambia lazima ajaze fomu fulani na awe na kitu...
leo nimeenda kusaga mahindii nikamuita we msagajii nashangaaa niko nyumbn majirani wanaulizan yule jamaaa ndo anaroho mbaya iviiii
cjuii kuna nn kinaendelea mie nimelal zangu ndani cwez...
*THE VENEX INTERNATIONAL SCHOOLS*
Hii ni shule ya wajerumani ambayo wameianzisha tanzania katika mikoa 10 (DSM,,MOROGORO,,DODOMA,,MBEYA,,IRINGA,,SINGIDA,,MWANZA,,,,KAGERA,,GEITA KILIMANJARO NA...
*Umoja Wa ma Boyfriend wasumbufu Tanzania(UBOTA)...Tunapenda kuwatangazia wana chama wetu kua bado kauli mbiu yetu ni ile ile "ntakuoa mwakani"*..........
Evening Great Thinkers.Yani Nimefunga Siku 4 Kidogo Nife Mabega Yanauma Ikifika Saa Nane Navuta Stimu Za Utamu Wa Ugali Na Samaki Samahani Jf Kwa Niliowakwaza Kuji Express.
Wakurya watatu wakiwa kwenye daladala...
Mkurya wa kwanza.. "dereva sukisa mimi hapa..
Mkurya wa pili... "inaonekana una chinda ya maneno dugu"...
Mkurya wa tatu.. Huku akicheka "wewe bana jeka...
Kilicho tokea leo...
Kuna jirani yaani anaumwa sana sasa akaomba aitiwe mganga wa kienyeji..mganga kaja na kumwambia kuwa hawezi kupona ugonjwa wake labda tu huo ugonjwa wa uhamishe kwa mtu...