Habari zenu wapendwa na poleni na mihangaiko.
Jumamosi iliopita nilienda kwa rafiki yangu na nikakuta wanauza vipaka vyenye takribani wiki mbili toka vizaliwe, Vile vipata vina rangi nzuri...
Awamu hii tunajifunza mengi sana!! Viongozi wetu ukiwauliza hiki wanakujibu kile!! Kwa mfano waziri wa viwanda ukimuuliza maendeleo ya viwanda walivyoahidi anakujibu vyungu vya kukaangia karanga...
Chit chat...
Tumezoea humu jf sio kam facebook au insta kila kitu ndiyooo kam watu wanafahamiana,huwa hawaaibishani just like kam bungeni.ila sisi huku jf huwa watu,wanajibu comments hovyo wengine...
I salute u all!!!?
back to topic
jamani leo nilikua busy na babe wangu kwa muda, hatukutaka usumbufu kwa namna moja au nyinngine, ukizingatia leo cku yake muhim ya kumbukumbu ya kuzaliwa...
Kama mada inavyo jieleza kuna ubaya wowote mwanaume kupewa pesa za kutumia na mwanamke.
Maana napata wakati mgumu kuchukua pesa anayo nipa dem wangu ingawa napenda pesa..naogopa kutangazwa bure..
PUMZIKO LYRICS BY LADY JAY DEE
Mwambie wataka kuja
Huru apate kuachia
Maamuzi yako upange
Bila kuwa wake upande
Huoni we wateseka?
Kwake u kama mateka
Wahitaji pumziko
Nipo kwa ajili yako
Njoo...
Kitambo tukiwa watoto ulikuwa unaitwa uje ule kwa lugha tofauti kulingana na chakula kilichopikwa siku na muda husika
1. UGALI NA KUNDE
Mwitaji : sumaaa
Mwitikiaji : Eeeh
Mwitaji : Uje...
Je nk disco sound?au paradise cinema?rerwe club?disco Toto dodoma inn airport?
VP wale wababe wa mjini?mpira VP team zetu za Dundee?Waziri mkuu?viwanja vya barafu..kinyonga street mji Mpya?
Au...
Serikali kupitia waziri wa nyumba na maendeleo ya jamii imewaagiza wamiliki wa nyumba za kupanga kuwa ifikapo tar.01-07-2017 bei ya chumba itapunguzwa hadi kufikia nusu ya bei ya awali. Yaani kama...
Wapendwa naomba mnijuze, hivi mtandao wa tigo wamefuta ile huduma yao ya "halichachi"?
NImejaribu kubonyeza nyota 148 nyota 00 reli ili nipate hiyo option lakini siioni!!!!
Siku ya leo sema Ahsante kwa mtu yoyote aliyekufanyia jambo au kitu kizur katika maisha yako na mpk sasa hivi uko hapo ulipo
mimi nasema Asante kwa Mungu aliye nilinda mpk saiz napumua
nasema...
Nakumbuka mwezi wa 4 mwaka huu katika pitapita zangu hapa jf nikakutana na bandiko la mdada mmoja anatafta mwenza wa maisha akaweka vigezo vyake vyote na mwishoni akasema awe mchapakazi,basi...
Je nikitu gani ambacho kiliwai kukutoa ushamba katika maisha yko unacho kikumbuka..
Mimi ni pikipiki ilinitoa ushamba sana hicho kitu enzi hizo lakin
weka na chako twende sawa
BREAIING NEWS
Kwa wahitimu wote wa kidato cha nne mwaka 2016 Prof.Joyce Ndalichako kupitia balaza la mitihani (NECTA)Rasmi ametangaza uteuzi wa majina ya wanafunzi walochaguliwa...
Jamaa aliokota wallet, alipofika nyumbani akapiga simu kwenye radio station "naitwa Juma nimepiga simu kutangaza kuwa nimeokota wallet ndani ina laki7, ATM card na karatasi yenye PIN ya ATM card...