Laana pekee tuliyopewa na Mungu ni ile ya kula kwa jasho
sasa hii ya kugeuza shingo tuonapo WANAWAKE.. tumejitakia wenyewe siyo mpango wa MUNGU.
Jamani Mungu atusamehe.
Hii nchi walimu wanaofundisha uraia wanakazi ngumu sana, unaweza kufundisha asubuhi majina ya viongozi mfano mkuu wa mkoa au waziri, kabla hujamaliza kipindi yule uliyemtaja sio tena waziri au...
Hi JF,
Kuna baadhi ya Members ambao wamejiunga zamani kidogo,kuna tabia wanayo ya kuwakejeli ambao waliojiunga kipindi hichi cha karibuni,ukweli ni kwamba kuna baadhi tulikua tunafatilia JF enzi...
Ushawai kwenda dukani kwa muhindi ukamkuta na [emoji837] kidot chekundu, usoni kwenye komwe lake ukimchunguza sana utafikili anaku Record, ee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nasikia sana juu ya huu upako wa KI NIGERIA....
JE UKOJE???????
MAANA YAKE NINI HASA??????
UTAUJUAJE HUO UPAKO WA KINIGERIA???????
NI WACHUNGAJI GANI HASA WANA HUO UPAKO WA KINIGERIA?????????
Naelewa fika kuwa watu wengi wanafahamu kuwa jiji hili lina vibaka wa kutupwa, ila napenda kuwakumbusha watanzania wenzangu hasa wanaomiliki magari kuwa mara wanaposindikiza ndugu au jamaa zao na...
Ngoja nianze mimi, Kuna jamaa alikuwa mtundu na muhuni sana enzi za sekondari, navosema mhuni ni mhuni kweli kweli, Jamaa alikuwa haoni soo wala aibu yoyote kutupa
pindi la kupiga nyeto, yani...
Utamaduni wa kuanza kutekeleza mara moja, na bila ya kuhoji, kila ushauri unaotolewa na mashirika ya fedha duniani, ulioanzia katika enzi ya awamu ya tatu ya uongozi, ndio unaotishia...
aisee karibuni konyagi tuounguze stress.....hii kitu saaaaaafi sana maisha wayaona saaaafi sana.......afu ukinywa hii kitu sikiliza music bana aiseee taaaamu sana
Najua wote huwa tunaoga labda mtu akiwa na shida maalum. Wengine wanaoga mara moja kwa wiki wengine mara moja kwa siku wengine mara mbili kwa siku nakadhalika.
Swali langu ni je unajuaje kama...
hili suala kidogo nahitaji kupata uelewa nalo kidogo kuna uhusiano gani wa kimaumbile kwa asilimia kubwa wanaume wanene ambao wana vitambi na makalio huwa na vibamia yaani ukitoka nae tuu ukikohoa...
*"the pressure of the candidate is directly proportional to the days remain and inversely proportional to the uncovered topics while the date of the examinations remain constant"*
Hivi?inakuwaje Tanzania tuwe na reslmali kama madini na almasi.na bado nchi iwe maskini?mbuga,milima,bandari,nk.hivi vyote hela zake zinafanyia kazi gani hasa.
Pole kwa kupigwa ban ingawa ban yenyewe in utata, ni wangapi wamemuita Mh. Wassira kwa jina la 'SOKWE' kwa nini wewe uwe victm peke yako, tuta-miss michango yako lakini inshallah utakuwa nasi hivi...