Habari waungwana wakiume kwa wakike,
Ni mtihani ambao tunakutana nao sisi wakiume kutoka kwa upande wa kike. Pale unapokuwa katika matembezi kitaani ama hata nje ya mtaa, na tunajua kwamba macho...
Habari wana chit-chat
Lejea Mada tajwa hapo juu ningependa tuwe na zile chit-chat ambazo zinaleta tija katika jamii namaana tunapo tambuana kimahusiano kule love connect au vichekesho vya hapa na...
MECHI ILIYOPIGWA MUDA MREFU ZAIDI DUNIANI
Hii ilikua mwaka 1942 fainali ya AMERICAN CUP ENZI HIZO,kati ya ARGENTINA na MAREKANI
kipute kilipgwa dk 90 wanaume wakatoka mbili kwa mbili, zikawekwa...
Salaaam wakuuu
Poleni Na majukumu Yakutwa
Nimeanzisha Uzi huu maalumu
Tukutane hapa wale woote tulio kuwa tuna piga madufu kuamsha watu kula daku
Maarufu wapiga daku Najua wengi wao...
Nawatakia mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Ntadumu hapa mpaka kesho saa kumi jioni. Kisha ntakuwa njee ya hapa mpaka tumalize mfungo.
Nawapenda
Tafadhari sana sana sana wakuu
WAKUU NADHANI MMESHUHUDIA TAARIFA ZINAZOSAMBAA KWAMBA NIMETEULIWA KUWA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI SIO ZA KWELI TUZIPUUZE*
Kazi nyepesi, utaonekana na kila mtu, uwe na uwezo wa kulia vizuri, sio kwa kelele sana, machozi lazima, utapewa historia ya marehemu, uwe unamtaja taja kila uliapo, malipo 20,000/- kwa siku...
ANGALIA HUU MCHEZO WA KUTUMA MESSAGE MARA ZIKATAE KWENDA MARA ZIKUBALI??????NETWORK MBOVU KAMA HII HAIJAWAHI KUKUTA?????
GARLFREND»»hellow sweetheart
BOYFREND»»hellow darling(SENDING FAILED)...
Poleni na mvua kwa wale mnaokaa bondeni,najua ni kero kubwa kwenu.
Ila hongereni kwa wale mnaofaidika nazo,hasa kwa kutapisha vyoo pindi zinyeshapo usiku.
Straight to the point. Haki sawa kwa...
My birthday is coming soon,
Siku tano baada ya birthday yangu ndio nitatimiza miaka miwili kama member wa JF
Tuliozaliwa siku hiyo hebu tukutane hapa tuulizane kuuhusu mambo ya nyota tuone kama...
Ndugu zangu wana JF,
I salute you in the name of Peace, Love and tranquility,
Ni takriban miaka miwili nimekuwa hapa JF tukishirikishana mambo mbali mbali na namshukuru Mungu maana nimeweza...
Yan leo hii MCHANGA Umekuwa dili namna hiii[emoji30] [emoji30] [emoji30]
Yan MCHANGA umekuwa maarufu kuliko hata baadhi ya wabunge na madiwani[emoji30] [emoji30] [emoji30]
Afu mbona mchanga...