JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
wakuu kwa wale old schools wenzangu,hivi haya mambo ya mchaka mchaka mashuleni yalifia wapi? kwanini walitukimbiza vile kipindi kile,hadi leo nimeshindwa kuelewa faida/hasara ya mchaka mchaka...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
wale wenye haraka ya kuolewa inawahusu. Madonna alikuwa na miaka 55 alipata mume mwenye miaka 22 Tiner Turner miaka 70 mume 42 J. Lo miaka 42 boyfriend miaka 26 Mariah Carey miaka 44 mume miaka 32...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
kutokana na mvua hii najikuta nasimamisha sana bajaj kuliko boda boda, hivi hapa nimeshindwana bei na bajaj kaenda zake #WapostPumba
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Napendekeza Miss Natafuta. Apewe Ban ya kutoa lugha ya matusi ktk michango yake na kututia genye humu huku tukiwa hatuna uhakika na jinsia yake.
3 Reactions
52 Replies
3K Views
KATI YA MCHINA Vs MZUNGU Nani ana cheti feki hapa?
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Siku yako ya kwanza kuangalia Video (television) ilikuwa mwaka gani? na ulijisikiaje kama unakumbuka ulikuwa mkanda gani? Mi nakumbuka ilikuwa mwaka 2003,kijijini kwetu huko Morogoro TV ndio...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
[emoji4] [emoji4] [emoji4]
0 Reactions
68 Replies
7K Views
2 Reactions
9 Replies
749 Views
Wadada hebu leo naomba mnipe ufafanuzi kuhusu hii kauli yenu ya Kusema kuwa mmechezewa. Hivi kwani mkigegendwa kwenu ndo ni kuchezewa.?? Kwani hiyo kitu imeumbwa kwa kazi gani...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Jamani nisaidieni mimi nategemea kupata Kasichana humu JF...lakini kila nikaa..nashindwa kujua Hii ni ID ya mtoto wa kiume au wa kike.... Je nitumie njia gani kujua kama ni wakike au wakiume...
1 Reactions
83 Replies
5K Views
boy: naitwa Solomon girl: so boy: lomon o.O #WapostPumba
2 Reactions
16 Replies
2K Views
kumbuka jina lako la utani wanalokuita shule, nyumbani au kazini kwanini umepewa jina hilo?
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Nyie hizi mvua jamani Isije ikawa watu wengine wametangulia kwenye safina sisi hatujui tu
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimekuwa nikiwasikia baadhi ya watu wakisema hili neno la kifo cha Mende, sasa nikawa najiuliza hili neno huwa lina maana gani? CC: Asprin Kaizer, mwekundu, BAK, Ruttashobolwa, Bujibuji, Mentor...
7 Reactions
42 Replies
41K Views
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Eti kuna mkaka alitembelewa na mama yake mzazi. Wakiwa sebuleni yeye, mama na mke wake, mke wake akaanza kuonekana tofauti kama vile anajiskia vibaya. Akaenda chumbani. Baada ya muda mfupi yule...
22 Reactions
261 Replies
16K Views
Twiga hawa wamekuwa wakizagaa hovyo maeneo mbalimbali ya jiji.Juzi niliwaona kariakoo leo nimewaona Kino.Wiki iliyopita niliwaona wengine maeneo ya Coco beach.Na kila wanapopita nimekuwa nikisikia...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Leo tarehe 12/05 ni siku ambayo sisi member wenzenu wa jf tulizaliwa. Tunamshukuru mungu kwa kunifikisha hapa pia tunajiombea maisha marefu yenye baraka tele.
2 Reactions
19 Replies
5K Views
3 Reactions
1 Replies
663 Views
Back
Top Bottom