Ushawah kuvuta bangi bila kula
Tupe uzoefu
Mi naanza kama hivi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ushawahi kuvuta bangi mpaka rafiki yako anakwambia kesho harusi ya dada yake wewe...
Boy:- hallow
Dem:- hellow
Boy:- ivi jina lako nani vile
Dem:- am miss precious A. K. A dope girl
Boy:-Okay, nmekutumia 50,000 nimeona Jina tofauti ngoja nipige customer care
Dem:-no no baby...
Kuna siku nilikua nasafisha masikio yangu naamin kila mtu anajua ile raha ya cotton buds mara zinapoingia kwenye sikio kuna raha fulan ambayo tunaipata ni ngumu kuelezea na shart lazima jicho...
Habari wanajf,Kati ya matusi ya kingereza na Kiswahili ni yapi yanaumiza pindi unapotukanwa?
Je wewe unapenda kutumia matusi gani kati ya hayo apo juu?,tujuzane tafadhali.
Huwa naona video za huyu jamaa mara kadhaa akihutubia(sina hakika kama ni msikitini au wapi) lakini maudhui yake huwa ni kuhamasisha ngono tu kupitia dini ya kiislamu.
Nataka kujua kama jamaa ni...
Kwanza kaeni mkijua,Hakuna mwanaume aloleta mvua ,wala mwenye uwezo wa kuleta mvua ,Vitendo mnavyotufanyia kipindi hiki cha mvua kaaeni mkijua mungu anawaona ..!
Mvua hizi zimetuathiri sana...
Habari za wakati huu great thinkers..kama ambavyo kichwa cha habar kinajieleza hapo juu..nimekuwa nikisia sikia maneno mengi watu wakimuongelea faru John.huyu faru John ni nani?nini kilimkuta??na...
HEY wakuu pata picha siku ya mwisho imefika mda wa hukumu umekuja alafu MUNGU anahamuru wote ambao walikuwa wanapga mgalala harmarufu kama punyeto a.k.a puchu au kuingiza gia kwa mkono ndo...
huko India mtu kauza figo yako moja milioni 20, lakini hapa TZ mtu anatoa moyo wake bure kwa mwanamke lakini bado haridhiki anataka na pesa aende saloon, mbona tunakufa huku tunajiona.
#WapostPumba
*MADEM KWA SIFA..*
*kuumwa aumwe yeye lakn kujifanya anajali sana bas utamskia BABY KARIBU TUMEZE DAWA [emoji23][emoji23][emoji23]*
Ujinga tu[emoji276][emoji276][emoji124]
Tangu nianze kunyanyua vyuma sijawahi kuchokozwa so nimeamua kuutafuta ugomvi.Mara ya mwisho kupigana nilipigana na kuku mwenye vifaranga enzi za utoto mpaka leo sijapigana tena.Nime-miss...
pale unapomaliza kuongea na simu usipende kuwa wa kwanza kukata simu kwa sababu kuna matusi ambayo unatukanwa ila kwa kiherehere chako unawahi kukata, unakuta mtu anakuambia, huyu fala kakosa watu...
Habarini wanajf.poleni na mvua aise kwa wakazi wa CALL ME J plz.maana kitu kinapiga mdogomdogo flani hvi yani fulu burudani.
Ngoja niende kwenye mada moja kwa zote
Angalau furah ya kutumia...
Leo nilikuwa nafanya data analyais, nikasema ngoja niangalie hawa members wenye most likes wana michango gani?
Nilishangaa kuona kati ya member kumi wenye most likes, nane ni makapuku.
Na...
imegundulika rasmi Korea kusini wameungana na Arsenal wakutane na Rihanna atembee na rais wa kwanza wa marekani aliyekuwa anamiliki kampuni mbili London katika kisiwa cha Zanzibar alikuwa na baba...
She came home early and found her husband in their bedroom making love to a very attractive young woman. The wife was VERY upset! "You are a disrespectful pig!" she cried. "How dare you do this to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.