TANESCO nazo zingekua nyingi kama MITANDAO YA SIMU hapa TZ? Matangazo yao na promotion yangekuwa hivi;
1.Hamia TANESCO SHUPAVU hakuna katizo la umeme, huduma bomba masaa 24
2.Tumia TANESCO POWER...
nawasalimu tu wakuu,naamini bado mnaendeleza harakati mbalimbali humu ndani.......huu ni ujio wangu mpya.wakuu viongozi heshima kwenu pia kwa busara zenu
Kwa mkazi wa dsm Uwe kazini nyumbani Au una party yako yakishkaji
Usitumie gharama nyingi wasiliana nasi Dreams food Na tuta kutengenezea packeg nzuri yenye mlo waukweli
Weka booking yako...
Salute..
Katika hali ya kawaida,tumezoea kila wiki,mwezi na hata mwaka kuna maneno yanayoongelewa zaidi kwenye jamii,mitandaoni na sehemu zingine kuliko kawaida.
Katikaa pita pita kwenye...
Habari za wakati huu Wakuu Natumai muwazima wa afya tele Mm nikijana mwenye umri wa miaka 20 Nimefanya kazi zakuajiriwa takribani miaka miwili Nimeona issue ya kuajiriwa Napoteza muda mwingi...
Utakuta pale Mtu Umeme unapokatika tu Nyumbani Kwake ikiwa ni usiku basi utaona anakimbilia ama dirishani au nje kuangalia kama kwa Majirani zake nao upo au umekatika kama Kwake AU kama ukikatika...
Habari wana JF
Nimejaribu kufuatilia na nikagundua kuwa aina ya movie unazozipenda ndivyo tabia yako ilivyo. Maana unapofuatilia zile movie kuna vitu unachukua na kufanya kwenye maisha halisi...
Leo tuzungumzie mazingira ambayo huleta utata katika mahusiano ambayo huweza tokea mfano;
Simu ya mwenza wako inapata tatizo ambalo kinasababisha simu kutofanya kazi siku zaidi ya nne, unaamua...
Chukua mwaka aliokufa Nyerere 1999 kisha toa na mwaka uliozaliwa wewe ongeza na miaka 18 ya kifo chake, utapata umri wako sahihi hapo ndio utajua alikuwa baba wa TAIFA,
IKIJA NAMBA TOFAUTI WEWE...
Wana jamvi yani mimi nimenunua King`amuzi ili niweze kufatilia vita mubashara alafu Trump analeta woga wake anakimbia uwanja wa mapambano ...!!
Sijui kule Pasific alifata nini??
Mwenye parachichi...
Hivi ushawahi kukutana na hii kitu ,
Mie ishanikuta kitambo hichooo,
Unajikuta umemzimia bint flani ila unakosa ujasiri wa kumtokea,
Na ukute hapo ww ni cocha mzuri wa kuwapika wenzako ila...