JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Je, wajua kuwa ukioga Mara mbili kwa siku, Ukiepuka pombe -ukiepuka sigara, ukienda gym kwaajili ya kuweka mwili fiti, ukilala masaa ya kutosha, ukila matunda kila baaa ya mlo, ukiepukana Na...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimefurahi mno kufikisha umri wangu huu leo hii na hakika nina furaha sana na kikubwa naomba tupendane na kwa pamoja tuliendeshe gurudumu hili la JF kwa manufaa zaidi ili tuweze kuijenga Tanzania...
10 Reactions
104 Replies
5K Views
Rejeeni Kichwa cha Habari na karibuni mtiririke tafadhali. Nawasilisha.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
nilichoskia leo sikutarajia sijui ni njaa au nini?! au watu wanajibana kwenda haja wasisikie njaa!wapige ndefu hadi jioni. daahh jamaa analalamika toka asubuhi hadi jion anapata buku au buku 2 na...
1 Reactions
4 Replies
920 Views
This thread is dedicated to headings that the president will be pleased with such as; 1.Taifa stars on the verge of Qualifying for world cup finals. 2.Tanzania to help China with two electrical...
0 Reactions
2 Replies
772 Views
ama kweli Mungu yupo na huwa anajibu maombi ebu angali hiyo picha uone maombi aliyoombewa Paul C. Makonda. maombi hayo aliombewa na Christina Shusho kuwa ndani ya mwaka huu Paul C. Makonda atapata...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Kama na wewe umechoka na drama za kila siku na unaona bora liende tukutane hapa Nukuu Hela ya bando nimetafuta kwa jasho langu na simu pia tusipangiane cha kupost. Bora liende tu. ZERO IQ
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Unashangaa nini? Habari ndo hiyo.
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Kama umezoea kunywa castle lager tano usije ukajaribu Balimi....ni bei rahisi lakin alc yake ni 5.8...hatari sana.
2 Reactions
24 Replies
8K Views
Naona Niffah kawa banned. To be honest nitammis sana humu ndani. Napenda sana michango yake kwenye mada kadha wa kadha. Pole sana Niffah
3 Reactions
134 Replies
12K Views
Napenda kuchukua fursa hii kumtakia heri ya kuzaliwa Mzee kijana mtanashati kutoka ushirombo, anaefahamika humu jukwaani kwa jina maarufu Ushimen MUNGU MWENYEZI AKUJAALIE UMRI MREFU WENYE...
8 Reactions
55 Replies
3K Views
habari wa pendwa,kama kichwa cha habari kinavyosema tujuzane
0 Reactions
11 Replies
1K Views
*Ex wangu kanipigia simu ety nimpelekee EARPHONE zake* *Nimempelekea na mimi nikachukua Simu niliyomnunulia Nimeacha ana connect EARPHONE zake kwenye redio sijui zilikubali* Spendagi ujinga...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Napitapita humu MITANDAONI naona marafiki zangu wote wanaishi MIJINI (ARUSHA, DAR, ,MWANZA na TANGA) ◆Hata wale waliopewa MIMBA sekondari wakaacha SHULE wakiwa Form 1C wanajinasibu kuwa ni...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Sidhani kama nitakuwa mwizi peke yangu humu, Nakumbukuka mara ya kwanza kuiba ilikuwa shilingi 10 miaka ya 90s kwenye chenji za mboga, wizi wangu ulifikia stage hadi nikachonga Funguo za vyumba...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Nimeshangaa mwanafunzi nadhani darasa la 5 au 6 anamwambia mama mkaanga maandazi na vitumbua "naomba vibashite vitano" Nilipoulizia nikaambiwa ni vitumbua. Hata chapati na maandazi wanaita hivyo...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Ningejiuzuru... Mtoto wa darasa la 4 kwenye Sunday school, alipo ambiwa atunge sentensi kwa kuanza na maneno Ningekua Rais...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ngwajima Bashite Nape JP Mwekiembe Policcm ..... ... . Tujulishane mapema kabla sijakata tiketi
0 Reactions
1 Replies
686 Views
Back
Top Bottom