JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
PhD ni Doctor of Philosophy Lakini PhD nyingine ni "Permanent Head Demage" maana ukimwona yule wa cuf na wale walioteuana wa chama cha mbogamboga utakubali tuu Nawaza kwa nguvu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Heshima kwenu Wakuu. Nyeti zetu ni moja ya viungo muhimu sana katika miili yetu. Ndizo hututambulisha kwa jinsia. Pamoja na umuhimu huo, watu wamekuwa hawazijali na kuzitunza ipasavyo maeneo hayo...
5 Reactions
33 Replies
3K Views
Leo nimeingia mgahawa mmoja nikauliza bei ya chakula: Mimi: naomba chakula cha mia 5. Mhudumu: hamna chakula cha mia 5. Mimi: basi poa ntarudi kikipatikana. Mhudumu: kuna cha kuanzia elfu 2...
0 Reactions
0 Replies
847 Views
PAPER LA HISTORY 2 MWAKA 2020 LIMELEAK °°°°°°°°°°°°°°°°°°°°° HISTORY EXAM,MAY 2020 1.Account for the emergence of lip confrontations during the first quarter of 2017 between Bashite and...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Huyu mtangazaji wa ITV namkubali sana ninazawadi yake. Mwenye number yake please, naomba mnisaidie kuipata. Asanteni.
1 Reactions
67 Replies
34K Views
[emoji23] [emoji23] [emoji23]!
2 Reactions
2 Replies
1K Views
<b>Kizungu nacho ni sheeeeeedeeeer Mtalii: Do you have vegetables here. Mtafsiri: Mnavyo vijimeza hapa. Waiter: Vijimeza vidogo hatuna. Mtafsiri: No sir, they don't have. Mtalii: OK, fine, do...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Sijui huyu mama jirani yangu kawaza nini, eti Atugwajima Mwakabashite. Sasa si mzaha kwa wenyewe huu?
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Sina maana mbaya ila muwe makini msiingie kwenye madeni wakati wa sikukuu ya pasaka
3 Reactions
37 Replies
4K Views
Wana chitchat! Iko wapi Jf ya enzi hizo??? iko wapi MMU ya enzi hizo?? Jf ya kina Excel REALITY Watu8 mzabzab Eiyer Descartes Miss Neddy utafiti masai dada arusha one Nawengineo utawaongezea Kuna...
12 Reactions
127 Replies
6K Views
Asante sana mimi kama kijana Mzalendo na mtafiti wa mambo ya kisayansi mwenye shahada kwa muda mrefu nimefanya utafiti wa kupunguza msongo wa mawazo nikagundua yafuatayo 1:KUJAMBA KUNA PUNGUZA...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanabodi Napenda kukumbusha kuwa, mshahara utakaotoka mwezi huu ndio huo huo utakaotumika hadi pasaka. Ahsanteni
0 Reactions
4 Replies
847 Views
Kwa mfano huu mlolongo wa matukio yanayomuhusu makonda yangekuwa ni movie. Wewe ungeipa Title gani? Na je ingekuwa ni Action, Comedy, Horror, thriller, au Romance ?
1 Reactions
143 Replies
13K Views
*KWELI.WASUKUMA NOMA... NCHI NZIMA SASA HIVI TUNA WASIKILIZA WASUKUMA WA TATU TU, MAGUFURI, MAKONDA NA GWAJIMA.... PIGA MAKOFI KWA MANGOSHA* ~Mwandishi Huru~
4 Reactions
15 Replies
2K Views
2020 Usije kunielekeza mtu wa kumpigia kura maana nilijiandikisha mwenyewe, na kura nitapiga mwenyewe!! Mimi huwa siingiliwi mambo yangu maana najua ni nani awe rais na asiwe rais, ukinipangia...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamaa kaambiwa na Nape Onyesha Kitambulisho Katoa Bastola, sasa akiambiwa onyesha cheti si atatoa Bomu!
0 Reactions
0 Replies
471 Views
Waweza kumkumbatia mwenza wako na ukajisikia faraja.Waweza kukumbatia vingi vya kuvutia ukajihisi mwenye amani na furaha.Lakini kinyesi si kitu cha kukumbatia maana hata ujapokukiachia utabaki na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Bashite angekuwa mtoto wa Don kwenye movie la Kimafia. Leo hii angeitwa sebuleni kwa mshua. Angepewa glasi ya mvinyo wangegonga cheers. Kisha mshua angemuambia *"Good Boy"* ...Baada ya hapo...
35 Reactions
46 Replies
5K Views
Mzee mmoja alikuwa anachunga ng'ombe na mwanaye..wakati wanawarudisha Ng'ombe nyumbani..walikutana na mto..wale ng'ombe wakagoma kuvuka...mzee alitumia jitiada zake zote ila alishindwa..kwa hasira...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom