JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mtalaumu sana kuona watu wana roho mbaya. Moyo mzuri watu wanazaliwa nao. Moyo mbaya nao pia wanazaliwa nao. Hauchongwi. Ukimkuta mtu ana roho mbaya, muonee huruma; ni mlemavu wa moyo...
0 Reactions
1 Replies
879 Views
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali zilizofanya na wataalam wa masuala ya mapenzi zimebaini kuwa wanawake wengi wanaendeshwa sana na hisia kuliko uhalisia. Katika tafiti hizi, kati ya wanawake wanne...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwanzaa habari za asubuhi ndugu zangu yafuatayo ni mambo ambayo yamekuwa yakiniudhi kutoka kwa member wa jf kupitia thread mbalimbali na michango yao. 1.Ku quote uzi mrefu ukacomment kidogo...
3 Reactions
80 Replies
4K Views
Taratibu zote zimekwishakamilika, yakiwemo maswala ya vibali na leseni.Kwanzia mwezi July mwaka huu bia ya bei nafuu itaingia sokoni kuziba pengo la viroba vilivyokatazwa. Wajumbe wenzangu...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari ya jumapili waungwana kweli leo nimeamin milima haikutani ila binadamu hukutana....leo nilishiriki ibada mbezi beach kanisa nalihifadhi jina..wakati natoka kanisan eneo la mlangoni ili...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Unalala unaota umeokota hela, ukiamka huna kitu, Mara nyingine unaota umeokota dhahabu, ukiamka unajikuta wewe bado lofa Tu, " Sasa itokee unaota eti unakojoa, ukiamka Tu, Imoooooo!.
0 Reactions
1 Replies
497 Views
. Lissu; Taja majina yako kwa ajili ya kumbukumbu Makonda; Paul Christian, Makonda Lissu; unaweza kuiambia mahakama juzi ulikula chakula gani ahsubh, mchana na jioni? Wakili wa Makonda...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
frankgalos upo wapi? Huyu jamaa alikua yupo vizuri kwa masuala ya computer, pamoja web development kwa mafunzo mazuri sana naona nafasi imechukuliwa kwa wakali hawa: CHIEF MKWAWA Mwl.RCT Na wengi...
0 Reactions
1 Replies
632 Views
*nimesoma amri 10 za Mungu kwenye Bibilia cha ajabu sijaona amri ya kumpa demu hela, Hivi hii amri ya kuwapa mademu hela wanaume tumeipata wapi?*...
0 Reactions
0 Replies
600 Views
*YAANI HII MVUA YA LEO NA BARIDI NI RAHA SANA MKIWA WAWILI MMOJA ANAPIKA CHAI MWINGINE UNAMTUMA VITUMBUA* _*wewe waza ujinga tu*_
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Naomba ushauri jinsi ya kumlinda makapera maana wabongo hawakawii kujifanya wanampenda kuliko Mimi niliyemuoa
2 Reactions
50 Replies
6K Views
Unakumbuka haya enzi za shule? Kama umesoma st. Kayumba utakuwa una aidia na haya… 1. Unaenda shule umechelewa unakuta mwalimu anakamata wachelewaji unaamua urudi nyumbani. 2. Unachukua kimbegu...
4 Reactions
26 Replies
5K Views
I had a girl that would've died for me.. Didnt 'preciate her so I made her cry for me.. Every night she had tears in her eyes for me.. Caught a case, shawty took the whole ride for me.. First we...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Sijajua kama umo humu,lakini huu ni ujumbe wako kwa siku hii ya leo,nakutumia ujumbe huu nahisi upo humu Jf maana una akili sana,kila mwaka nimekuwa nikikutumia keki ya siku hii ya leo popote...
1 Reactions
0 Replies
595 Views
Wadada wa bongo bana, Utawasikia: Wanaume wa siku hizi hambebekiiii hata mkibebwa mgongoni mnachana mbeleko" Jamani kwani wanaume wa zamani wameishaa? Wapo wengi tuuu wakina Kingunge, Malechela...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimekaa na kuwaza kutokana na Hali halisi ya sasa hivi nchini Tanzania unaweza pata mke bikra ukamwoa ??? Na si mnajua mke halali kiserikali ni miaka 18 je wapo bikra siku hizi????
1 Reactions
90 Replies
13K Views
Ohh kumbe yeye basi sawaaa ...aseee wana jukwaa habari zenu !!!!!!! nimekuja hapa kwa shida moja tuu asee ....nmetokea kumpenda huyu manzi sasa dah shida kumpata...yaani...
2 Reactions
33 Replies
16K Views
Makamera man walikuwa majeuri kishenzi yaani! Kwanza unakuta hii Kamera ina likamba fulani jeusi inaning'inizwa shingoni..... Kameraman ana kabaskeli kake hapa... nyuma kana begi lina picha za...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…