Imebidi nimpe suprise binti yangu. Amejitahidi kwenye mtihani wake wa muhula huu. ................................... Kwa kuwa shule yao imeweka matokeo yao kwenye internet nimeshukuru...
Shoga 1 alienda club ikapigwa nyimbo ya msondo ngoma....
ya "Wanaume tumeumbwa mateso....mateso!"
Shoga kusikia akaguna mmh niliyajua zamani hayo
ndo maana nikajitoa huko....
Ni habali za kusikitisha
kwani timu ya taifa ya Japani iliregeshwa makwao kutokana na utata
ulioletwa na majina ya wana kandanda hao ambayo ni matusi na yanaweza kuleta changamoto na tafakali...
madam was having trouble with one of her students in 1st Grade class.
Madam asked,'VASANT. What is your problem?'
VASANT answered, 'I'm too smart for the first-grade. My friend is in the...
kuchapiwa ni siri ya ndani...?
cc kabanga Asprin na wazee wote humu ...
Angalizo:ukichapiiwa siri yako usibebe bastola kuumua mchapaji
Source : wimbo Wa Rich mavoko moyo wng...
Naona niweke thread hii itakayokuwa inajadili mambo yanayohusiana na sisi wachanga
Kwanza nianze kwa kuuliza: Hivi Wachaga ni kabila, au ni mkusanyiko wa makabila? Maana makabila mengine mengi...
Katibu mkuu wa cc...M baada ya sakata la uharamia ukienda bar ukitaka kandovu kabariiiidi unasema nipe KINANA unaeleweka kademu kakiwa chini ya 18 ni KAPUYA tupia na kashifa za Viongozi wengine.
Madadii na mashostito!!
Huwa napenda sana siku ya ijumaa. Inanikosha na kunipa utamu wa moyo kuliko anything in mylife.
Ni siku ambayo baada ya kazi nakua so relaxed.
Hata kama sitatoka out...
1.Anakiburi ila kitandani Mtaalamu.
2.Mpole na mnyenyekevu ila kitandani kama Gogo.
3.Mtaalamu kitandani ila hajui kupika.
4.Anajua kupika,kitandani mtaalamu,mpole sana Ila mama Huruma...
Good evening wakuu,
The weather is so lovely this moment here in Dar. And in such kind of weather, am all about my mug of milky coffee mixed with Nilo, my favorite cookies, my laptop watching the...
1. Ni agizo la kibiblia, mahali fulani Yesu alisisitiza umuhimu wa kuwalisha wenye njaa, kufariji wagonjwa na KUTEMBELEA WAFUNGWA (Bila kujali kama wamefungwa kwa haki au kwa kuonewa). Jela ni...
Akiwa ziarani Simiyu , Mkuu wa kaya anakutana na malalamiko kibao ya walimu .
Walimu wamemlalamikia tatizo la mabinti wanafunzi kuolewa linakithiri.
Bila kumung'unya Baba Riz ametoa...
Habari za leo waungwana .....
Kichwa cha habari kinajinasibu chenyewe....Sasa nimeamua kurudi rasmi nyumbani....Baada ya kukaa kule Siasani nimeona ni mateso makali na stress zisizo isha...