JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kikombe hiki cha machungu ya mgao wa umeme , eee Mwenyezimungu tuepushie . Leo Mwanza City imekosa power zaidi ya 30hrs ! Nimekosa specific name huu mgao niupe jina gani ? Kwengineko nimeuita...
0 Reactions
43 Replies
3K Views
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Me and my lovely shosti. Can you gues hapo kwenye Picha chini mimi nimevaa nguo gani?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kikombe cha kahawa ya maziwa (Nido), sambusa za nyama 3, mayai 2(spanish) na glass ya juice(passion + mango) na fruit salad Hapo hata mchana ukipita wima...! Hutetereki!!!
0 Reactions
3 Replies
908 Views
-- BI DADA KANUNUA CM MPYA... Screen touch..!!! Mdada : bebi mambwo Jamaa : poa nambie Mdada : vipw umelalwa? Jamaa: unasemaje? Cjakuelewa hapo. mdada : nauliza umelalwa? Jamaa: mmmh...
2 Reactions
54 Replies
4K Views
Jamaa mmoja alishikwa akiiba sambusa, akaambiwa"sambusa utalipa na polisi utaenda" jamaa akajibu"sambusa siendi na polisi silipi"!!!
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Hamjambo? Leo nikiwa maeneo ya mwenge niliona watu kadhaa wakiwa wamekusanyika, walikuwa kwenye mhadhara, mhadhara wa kidini. kilichonisukuma kuleta uzi huu ni jinsi ambavyo mtoa mada...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
BBM USER let's exchange our pins for chats 26D3A1D2
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Naomba kwa wale ndugu zangu wapare na wachaga no bias plz kat ya haya makabila mawili ni kabila lipa wanapenda sifa za kjinga kuliko wengine ....kwa mfano mkiwa nje ya klm wote wote mnasema...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari wadau. Mwenye namba zao naomba anisaidie. Serious . . Natangaliza shukrani.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Jamaa aingia ofc z star time na kusema naomba kinga ya mavuzi Kumbe almaansha King'amuzi Watu wote Haaaaaa!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndio nakaribia jaman ni pokee vizur
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hivi ni kweli wanawake wamefikia hatua hii? Mi nadhani kuna kitu hakipo sawa mahali. Nimepata ujumbe huu nami nimecopy na......; "Wanawake wa siku hizi wana tabia sawasawa na wanaume kasoro tu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwanamke mmoja alienda kwa daktari na kumueleza kuwa matiti yake madogo.anataka yawe makubwa. DOKTA; NTAKUNYONYA kitaalam kwa saa moja yatakuwa makubwa. MWANAMKE; Ok, nitakuja na mume wangu nae...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
1. EMBE- Furaha ya NDOA. 2. CHUNGWA- Mpweke lakini Unatafuta. 3. LIMAU- Unampenda mtu lakini unaogopa kumwambia. 4. SHOKISHOKI- Upo katika mausiano ama ndoa lakini unaye mwingine ambaye unampenda...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kama kawaida, soul food. Enjoy the moment!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kupita katika maisha Magumu,ni fursa ya kuuona mkono wa Mungu,kwa hiyo tabu zote unazo zipata mshukuru Mungu kwa kila jambo,kwa sababu kushukuru ni alama ya imani,ni alama inayo onyesha kuwa unaye...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamaa alienda kwenye interview, ilipofika zamu yake kuingia ofisini kuhojiwa maswali akaingia moja kwa moja hadi kwa bosi. BOSI:-"wait please". JAMAA:- "sixtyfive kilogram sir."
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Usiringe kuchagua kazi eti kisa Una Degree!! Thermometer ina DEGREES kibao lakini inafanya kazi kwenye KWAPA!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna mwalimu alikuwa anaita majina ya wanafunzi darasani. Alipofika kwenye jina lifuatalo alisita na hakulisoma kabisa. JINA LAKE NI: ALLY LA BABA YAKE: SHANITO LA UKOO: MBAGA Du ebu...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Back
Top Bottom