Ivi kwanini siku hizi wanawake ni so heartless...kweli kijana anajikaka mua anabeba zenge mjini anapata elfu 5 kwa siku walaah bi shosti huoni huruma unaichukua yote unamuacha tena juu ya mtaa[au...
Mwalimu: taja madini yanayopatikana Tanzania. Mwanafunzi: maisilamu, masabato, malokole na maromani.
Mwl; safi sana mpongezeni
HIYO NDIO BIG RESULTS NOW!
na huyu lazima apate division 5
A black Jewish boy runs home from school one day and asks his father, Daddy, am I more Jewish or more black? The dad replies, Why do you want to know, son? Because a kid at school is selling...
Niaje mapipooooo...........
"Ukiuza toa risiti, ukinunua dai risiti"
Hebu tuwe wakweli, hivi nani alishawahi kutoa akiuza risiti au kudai risiti akinunua?????
Asubuhi njema kwenu nyote!!!!!!!!
Mapema leo asubuhi , via Clouds Radio kipindi Power breakfast , Gerald alifanya mahojiano na Mike Mushi , mmoja wa wamiliki wa Jamii Forums .
Mada ikiwa Mike kuelezea fursa zipatikazo ktk...
Unaingia bar unaagiza bia yako bariiidi vizuri unakata kuu kwa raha zako, unaagiza ya pili kwa utulivu sasa halafu ya tatu, kwa mahesabu ya haraka ni kama 7500/=, kabla zile mbili za kwanza...
A very happy birthday to my love, my friend and the sweetest cc ozzbend ever, babe sosoliso!
Mwenyezi Mungu akujaalie maisha yenye furaha na amani, upendo na baraka tele!
babe sosoliso! keki...
1. Usikubali kumkera unaempenda.
2.Bora uishi na umasikini wenye furaha kuliko kuwa na mali huna furaha,
3.Usipende kutumia njia moja, badilisha njia ili usiwe maarufu kwa njia Moja.
4.Popote...
Habarini marafiki zangu
Awali ya yote napenda kuleta kwennu wale walioongoza hapa jamvini kwa mwaka huu 2013
kwa kuleta thread za kujenga na kubomoa , zilizojaa pumba, story, mipasho, zenye...
Alittle boy was attending his first wedding. After the service, his cousin asked him, "How many women can a man marry?" "Sixteen," the boy responded. His cousin was amazed that he had an answer so...
Mke wa kipofu anatembea na kiziwi kwa siri lakini anaejua ni bubu, je bubu atafanyaje ili amwambie kipofu kuwa mke wake anamsaliti? naomba jibu wakuu????
Kuna wanawake hapa Jf hata kama hatuwajui lakini majina waliyojipa yanatoa taarifa tosha jinsi wao wenyewe walivyo. Nimejikuta nina wakati mgumu kusoma au hata kukomenti au kulike...
Naomba mtambue shule hizo hapo juu!!
Hiyo ya pili kasoma Mr Rocky
Ya kwanza kasoma my aunt.. Mamndenyi...
still ndiyo the best primary schools in Tanzania..
Hongereni wadau kwa kuweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.