Mkunduyangu, mkumaalim, mhishimiwa kwelikweli KP, hana raha wala furaha tena, ukiona mtu mkuuubwa mwenye midorali ya kufwa ntu anafikia kuandika ujumbe wa kusema 'asavali nifwe' ujue kazi...
Zamani maisha yalikuwa rahisi na raha mno, unatumia kwanza malipo baadae, simu, umeme, majina posta ada za shule nk ni mifano halisi
Imeingia digital imeharibu kila kitu, Siku hz ni mwendo wa...
1.Kopa mkopo bank
2.Nunua gari bovu la biashara.
3.Oa mwanamke mwenye kelele.
Ukifanya hayo yote kwa pamoja nakuhakikishia ndani ya miezi kadhaa kitambi kitakuwa historia.
Ebana,,,tofauti nnaizozijua mimi kati y mwanamke na mwanaume ni
1)sehemu zetu za siri (nafikir ushaelewa)
2)matiti yetu ni tofauti( " " )
3)wanawake wanauwezo wa kusikia sauti ya...
Usikae na kitu rohoni kimwage Hapa upate nafuu
Leo tumeianza wikend , tumekuwa na wiki yenye mambo mengi yakufurahisha na kuhuzunisha, ya kukarahisha na kutia simanzi, yenye kutoa changamoto na...
ndugu mwenyekiti wa jukwaa hili ndugu Arushaone naomba kupitia kwako na wajumbe wote kutamka kwamba nampenda sana sana madam farkhina mpaka nakosa raha katika maisha yangu haya ya taabu.
dear...
I think it will sound better when one say Mr & Ms Chitchat, rather than Miss Chit-chat alone. Kama wataka kuwa Mr. Chit-Chat, hii thread ni yako kujitambulisha. Changamka!!
Jamani mwaka huu sito usahahu kwani nahisi kuchanganyikiwa sana sababu matatizo niliopata nahisi kuelemewa kwanza nilipata bahati ya kujiunga na Chuo kikuu lakini sikupata mkopo hata kidogo Ada...
Jamani kuna baadhi ya majina ya vitu na watu hayatamkwi kwenye baadhi ya mikoa nilipata aibu Mtwara mfano;
1. Mkoa: Mtwara, Majina ambayo ni matusi lakini Dar si matusi; Niliuliza embe ng'ongo...
jaman kuna mzingra mengne yanahatar
sana,tena ndan ya nchi hi hi.Kuna kijiji network
za mtandao yote ya cm inapatkana sehemu moja
2 ktk kjj kzma,tena n nyumban kwa mwenye.
ukienda hapo kupata...
Mwanafunzi mmoja aliambiwa na mwalimu wake wa kiswahili, atunge sentensi yenye neno sukari.
Mwalimu : Mussa , tunga sentensi yenye neno sukari.
Mwanafunzi : Jana nilikunywa chai na vitumbua...
Nilikuwa mwenyefuraha sana, nikienda shuleni raha, nikirudi nyumbani full michezo na wenzangu, life was stress free and awesome, sasa hivi karibu kila kitu ni kinyume...sijui wewe unakumbuka nini...
A stressed man was in his office thinking deeply.Suddenly one man ran inside shouting "Peter, Peter your daughter Tonia just had an accident and died"!
Shocked and confused,He jumped out of his...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.