Kikombe hiki cha machungu ya mgao wa umeme , eee Mwenyezimungu tuepushie .
Leo Mwanza City imekosa power zaidi ya 30hrs !
Nimekosa specific name huu mgao niupe jina gani ?
Kwengineko nimeuita...
Kikombe cha kahawa ya maziwa (Nido), sambusa za nyama 3, mayai 2(spanish) na glass ya juice(passion + mango) na fruit salad
Hapo hata mchana ukipita wima...! Hutetereki!!!
Hamjambo?
Leo nikiwa maeneo ya mwenge niliona watu kadhaa wakiwa wamekusanyika, walikuwa kwenye mhadhara, mhadhara wa kidini.
kilichonisukuma kuleta uzi huu ni jinsi ambavyo mtoa mada...
Naomba kwa wale ndugu zangu wapare na wachaga no bias plz kat ya haya makabila mawili ni kabila lipa wanapenda sifa za kjinga kuliko wengine ....kwa mfano mkiwa nje ya klm wote wote mnasema...
Hivi ni kweli wanawake wamefikia hatua hii? Mi nadhani kuna kitu hakipo sawa mahali. Nimepata ujumbe huu nami nimecopy na......;
"Wanawake wa siku hizi wana tabia sawasawa na wanaume kasoro tu...
Mwanamke mmoja alienda kwa daktari na kumueleza kuwa matiti yake madogo.anataka yawe makubwa.
DOKTA; NTAKUNYONYA kitaalam kwa saa moja yatakuwa makubwa.
MWANAMKE; Ok, nitakuja na mume wangu nae...
1. EMBE- Furaha ya NDOA.
2. CHUNGWA- Mpweke lakini Unatafuta.
3. LIMAU- Unampenda mtu lakini unaogopa kumwambia.
4. SHOKISHOKI- Upo katika mausiano ama ndoa lakini unaye mwingine ambaye unampenda...
Kupita katika maisha Magumu,ni fursa ya kuuona mkono wa Mungu,kwa hiyo tabu zote unazo zipata mshukuru Mungu kwa kila jambo,kwa sababu kushukuru ni alama ya imani,ni alama inayo onyesha kuwa unaye...
Jamaa alienda kwenye interview, ilipofika zamu yake kuingia ofisini kuhojiwa maswali akaingia moja kwa moja hadi kwa bosi. BOSI:-"wait please". JAMAA:- "sixtyfive kilogram sir."
Kuna mwalimu alikuwa anaita majina ya wanafunzi darasani.
Alipofika kwenye jina lifuatalo alisita na hakulisoma kabisa.
JINA LAKE NI: ALLY
LA BABA YAKE: SHANITO
LA UKOO: MBAGA
Du ebu...