Kati ya WANFUNZI FC vs NECTA FC
Vikosi WANAFUNZI FC;
Goli kipa mini kabang ya Tigo ,
bek ya kushoto cheka bombastik ya voda , beki ya
kulia airtel yatosha, beki ya kati tigo rusha, mkoba tigo...
''NAKUPENDA. Bila kujali hisia zako za moyoni kuhusu huu ujumbe nnauokupa, mi nakupenda. Hata kama hujawahi kudhani kwamba hisia zetu zaweza kufanana, mi nakupenda, na napenda kuona unaishi kwa...
Tom Mabe amewatia hofu na kiwewe huku akiwachekesha maelfu kwa Kinyago chake mithili ya Kishetani au Msukule kinachoruka angani.
Hukirusha kimwanasesere chenye sura ya mfu kwenye bustani zenye...
Jamani nauliza si kwa nia ya kuendekeza ukabila ila kwa ku-consider tabia na experience za makabila, laiti ungepewa kupanga wizara kuendana na makabila ili kuongeza ufanisi wewe ungezipanga vipi...
Mwanasayansi mmoja, alifanikiwa kutengeneza robort ambalo lilikua na uwezo wa kugundua kama mtu anadanganya na linampiga kibao. Paaaaaah!! Tajiri mmoja aliekua anamiliki shule aliamua kulinunua...
jamaa aliharibikiwa na gari kijijini akapewa hifadhi,baada ya kuoga na kula.MZEE:"sasa huyu mgeni alale wapi?" MKE: "saa hizi ni usiku akalale na bebi tu!"jamaa akakwepa usumbufu wa bebi kukojoa...
Nimekumbuka sana jamaa alipokua anamuigizia prof lipumba mara baada ya uchaguzi wa igunga ........... " ukisoma kitabu cha pamela na kipini, ukasoma kitabu cha mzee tola anakula gizani, ukasoma...
Rasta alienda kumgongea Msela Geto ili walale,kugonga akaulizwa:We nani?
Akajibu:Rasta Farrai,Jah bless King of Haile Sellasie,Jah man Gwan Man bum bum peace&Love forever nigga.
Msela...
Kweli ualimu ni kazi:
MWALIMU:Tunga sentensi kwa kutumia neno
"TUMAINI"
MWANAFUNZI:"tumaini twa kuku tutamu kuliko
tumaini twa mbuzi"
Nakutakia usiku mwema
Habari wana CC!!!!!!!
Napenda kuwataarifu kuwa mwenzetu Arushaone ni mgonjwa anasumbuliwa na Pneumonia, kusema ukweli tangu juzi hakuwa katika hali nzuri kiafya japo tulikuwa tukishirikiana nae...