Hamjambo marafiki
Jamani sijajisikia kuwafurahisha wala kuwachekesha hapa bali
niko serious kabisa tena sana natafuta mtu wa jinsia yoyote
sichagui wala sibagui ila awe mwembamba kiasi chake
na...
Wish you a very happy birthday Mzee wa Rula
May life lead you 2 great happiness
success and hope that
all your wishes comes true!
enjoy your day
CC Arushaone, Blaki Womani, Preta marejesho...
it's September 26 again which means I am another year older!!!!!!!!!!HAPPY BIRTHDAY ME.......
Namshukuru mungu kwa kufikia siku ya leo...,I feel so good to be around my family
and Friends most...
Kitendawili tega nikutege? Ni mnyama gani anaye lia au kutowa Sauiti kwa kupiga makelele?
Jibu lake chaguwa moja kati ya haya 4
(1) n'gombe?
(2) punda?
(3) farasi?
( 4) fisi?
Kudadadeki mapedeshee wa humu mnatuonea sana sisi wanyonge, kila vimwana wazuri mnao ninyi tu kisa mnamwaga pesa na kuhonga vitz na rava four,,,,,,,,,sasa kabla sijaibuka na kimwana matata humu...
nimechungulia hili jukwaa kuna watu wanajichukulia wao ndo masista duu,mademu wakali,wengine wanajichukulia wahitimu wa degree ya mapenzi yaani ilimradi kujivika uhusika ambao hana!......
Nipo Geita,masomoni,likizo ipo karibu hvyo natafuta marafiki wa kuchat nao wakati wa likizo walioko Shytown(Ngokolo) na wale wa Nzega(Bukene).
Panapo majaaliwa tunaweza tukakusanyika pia siku...
Morning,
Nimefatilia threads mbalimbali humu chit chat, yaan ni kama kulifanyika scrumble and partition. Kila mtu na koloni lake aisee, watu wamefanya effective occupation. Wengine kama Mswati...
Nimeipata sehemu na imenipa mawazo. Kimsingi binafsi naunga mkono:
Siasa ina uwiano mkubwa sana na
ujinga. Ili uwe mwanasiasa mzuri
inabidi uwe mchangamfu hata pale
unapoumizwa...
alikuwa hivi mwanzo kabla ya kukata umeme!
katika harakati za ku dry nywele zake ili arudi kwenye kujirusha, masikini kapigwa shoti na hali yake ikawa hiyo hapo!
akawa hivi!
hahaaaa!!! chezea...
...Nimecheka sana, hebu cheka na wewe..Mtanzania, Mkenya na Mganda walikamatwa China kwa kukosa vibalì, wakaambiwa wachague adhabu ya kifo au kwenda porini kuleta matunda kumi ya aina moja kila...
Familia ya chit, naombeni muni asili katika familia yenu. Naipenda sana chitchat, naamini nimepokelewa kiroho safi. Waliopo kwenye kampeni nawatakia kila la kheri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.