JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jamani Asprin yuko wapi? Namtafuta sana, kuna kazi ya Taifa naona anaweza kusaidia Nadhani wote mnafatilia soap opera ya ukaguzi wa vyama na kamati ya PAC naona ni kama mambo yamekwama sababu...
7 Reactions
45 Replies
3K Views
Sio kwamba naabudu wazungu ila mara nyingi ukikuta wanawake wa kizungu wanapiga story za kawaida utakuta wanaongelea masuala ya vyakula , afya, mazingira tofauti na hawa wakwetu ambao lao moja...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Habarini wana jamviii hope mko poa niwatakie mapumziko mema Allah awatangulie nawapenda nyoteeee
0 Reactions
3 Replies
845 Views
1. Avon 2. Flying Pigeon 3. Hamilton 4. Gazelle 5. Swala 6. ... 7. ... ...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jaman kama kuna m2 anafahamu dawa ya kunenepesha, naomba aniagzie,.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Na kisha mkishakazana kuuperuzi Uzi wangu , mnipe ushauri wenu . Ili iitwe jamii ni lazima pawe na watu wenye silka tofautitofauti . Waungwana , washenzi , wahuni, wezi , mashoga , vibaka ...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Salaam! 1.Huyu yupo katikati ya ngazi kasahau kama anapanda ama anashuka 2.Huyu upo kitandani kasahau kama anataka kulala ama kuamka 3.Huyu chupi ipo magotini kasahau anavaa au anavua 4.Huyu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Unataka mwanamke/msichana akupende na kutokuacha kamwe? Basi fanya yafuatayo: MOSI,Mpe hela, hilo likishndkana, PILI MPE FEDHA, Bado hakupendi? Tatu,aisee toa PESA, nne,MPE hela, na...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Jamaa ananiambia “nimeokota hela kwenye daladala ila wakati napanga bajeti, haijatosha, niongezee twenty basi”. Hahahaha
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Pastor was standing at the door after mass greeting people.. He grabbed Onyango by the hand & pulled him aside...Pastor told Onyango, "U need 2 join the Army of the Lord!" Onyango: "I'm already...
1 Reactions
1 Replies
763 Views
Dah! Uzee ndo huo unaninyemelea.
0 Reactions
46 Replies
3K Views
Kwamba wewe unaeperuzi hapa , ima uwe Njemba (Me) ama uwe Shori (Ke) Una mpenzi wako mnaependana sana kwa dhati ya nafsi zenu . Pamoja na kupendana huko , watambua ktk suala la kumlinda...
2 Reactions
51 Replies
3K Views
Kulikua na kikao cha wazazi kuhusu vijana wetu wanaosoma watu wakachangia ndo ikawa zamu ya mzee mmoja wa kihaya na tulimjua kabila lake kutokana na jina na lafudhi ikawa badala ya kuongea...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
UMOMBO WALETA BALAA Jamaa kaenda sehemu kwenye interview ile kuingia tu chumba Cha interview, Boss akamwambia" Wait Please'' Jamaa akajibu 75 kg Sir* CHEZEA UMOMBO WEYE,!!!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cheki Watoto Wa Tz WalivyoHaribika: Wazir Wa Ujenz Magufuli, Alifanya Mkutano Akasema mtu Yeyote Akijenga Pemben Mwa Barabara hiyo Nyumba Tutaiwekea X, Akashanga Watoto Wanashangilia Kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba kuleta mawazo haya kwenu nakumbuka mwaka jana tulikutanisha wana CC pale kebbys naomba mwaka huu tu organiz kitu kama hicho kabla ya Christmas na kifanyike pale escape1 au 2 je mwaonaje...
9 Reactions
166 Replies
9K Views
Mtoto:Baba nikwambie kitu... Baba:Nilikukataza kuongea wakati wa kula haya nyamaza.... Mtoto:Akaendelea kula mpaka wakamaliza kula... Baba:Haya sasa sema ulichotaka kuniambia... Mtoto:Nilitaka...
1 Reactions
16 Replies
7K Views
Ni toleo jingine la JF UDAKU mwezi wa kumi likiwa limesheheni habari motomoto, Kwa hisani ya TANMO , Bishanga na Elizabeth Dominic natiririka kama ifuatavyo... 1.Sakata la madawa ya kulevya...
15 Reactions
129 Replies
8K Views
ukiivuta chini unaumia, ukivuta kwa juu unaumia. ukisema itulie hapo hapo ilipo nasa unaumia. ushaonja maumivu ya zip iliyo nasa kwenye ngozi ya mdudu?. mia
3 Reactions
91 Replies
11K Views
Back
Top Bottom