Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,789
Kwamba wewe unaeperuzi hapa , ima uwe Njemba (Me) ama uwe Shori (Ke)
Una mpenzi wako mnaependana sana kwa dhati ya nafsi zenu .
Pamoja na kupendana huko , watambua ktk suala la kumlinda mpenzio huyo , ya kwamba unamlinda asikuchiti !
Huko kulinda ni mithili ya kulinda Bahari !
Ukilinda Bagamoyo , kwengineko Pemba , Mtwara , Tanga , Lindi , Mafya watu wanaogelea na kujivulia Mifishi ya afya!
Ukilinda Kunduchi , Kigamboni watu washaogelea na washavaa nguo! Fish sio tena wanavua laa! Washawamanga unakuta wana stiki midomoni .
My dear habari hii unayo?