My dear fellow Member ! Habari hii , na wewe unayo? (Kumhusu mpenzio!)

My dear fellow Member ! Habari hii , na wewe unayo? (Kumhusu mpenzio!)

Hapa kila mmoja na ajichunge mwenyewe,kuku wako ya nini kumshikia manati
 
Hapa kila mmoja na ajichunge mwenyewe,kuku wako ya nini kumshikia manati

Wakwako ndiyo wa kumshikia manati !
Nani atakuhumu?
Wamwenzio ukimshikia
it iz kriminol ofensi!
Utafungwa!
 

ya kazi gani kumchunga mtu na midevu yake
ajichunge mwenyewe huko,ni ngumu na haiwezekani
kumchunga mtu mzima!!
 
heri yako wewe uliyenaye wakumlinda maana siye walishatoweka katika uso wa dunia hii
Kwamba wewe unaeperuzi hapa , ima uwe Njemba (Me) ama uwe Shori (Ke)

Una mpenzi wako mnaependana sana kwa dhati ya nafsi zenu .

Pamoja na kupendana huko , watambua ktk suala la kumlinda mpenzio huyo , ya kwamba unamlinda asikuchiti !

Huko kulinda ni mithili ya kulinda Bahari !
Ukilinda Bagamoyo , kwengineko Pemba , Mtwara , Tanga , Lindi , Mafya watu wanaogelea na kujivulia Mifishi ya afya!
Ukilinda Kunduchi , Kigamboni watu washaogelea na washavaa nguo! Fish sio tena wanavua laa! Washawamanga unakuta wana stiki midomoni .

My dear habari hii unayo?
 
Back
Top Bottom