Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Kuombeana ni bora kuliko kuchungana!
Amen wapendwa!
Amen wapendwa!
...hapa kama mtu ni kiruka njia ataruka tuuukuchunga lazima....
Wakwako ndiyo wa kumshikia manati !
Nani atakuhumu?
Wamwenzio ukimshikia
it iz kriminol ofensi!
Utafungwa!
...hapa kama mtu ni kiruka njia ataruka tuuu
...hapa kama mtu ni kiruka njia ataruka tuuu
Akinipokonya chupi atakuwa kanizuia aisee!
Halafu Avemaria ujue kutemea bila chupi inasaidia sana uharaka wa service km kukojoa hahhaaaa
hapo ndipo tunapofeli.Sa umchunge ili iweje? Kwani wakiitumia inapotea? Au nanhii yako ilichongeshwa kufit kwake tu?
nakwambia kaja kufeli mwisho kabisa.mzee kazidiwa wakati stori kaanzisha mwenyewe
...wellau ndio kusema kunguru hafugiki....?