Kwa wale wadada ambao ni biashara Please usikopeshe LOL
A man met a beautiful girl and she agreed to spend a night with him for 200 pounds, they spent the night together. In the morning...
Mchungaji alitangaza kila mtu atoe sadaka kulingana na uzuri wa mke wake...basi watu wakaanza kutoa Mokoyo akatoa 50,000/ Baba V 30,000 Erickb52 10,000 kiwatengu 20,000 mwekundu 100,000...
Wakuu Lugha ni hai ie inazaliwa, inakua na kisha inakufa Tangu nijiunge na JF nimekutana na misamiati ifuatayo (hasa jukwaa la siasa)
kilaza
masaburi
unatoa povu/pofu
kibuda
......
...
Mtumishi wa MUNGU mmoja akiwa
kwenye gari alisimamishwa na Trafic
Police,police
akiwa anahitaji rushwa alianza kuuliza
maswali mengi, mara mbona
gari lako linatoa moshi mwingi? mbona gari...
Tangu BBM iwe imeruhusiwa kwa simu za Android na Iphone, watu wamekuwa wanagawa PIN zao kama pipi. Sasa kama unataka kumjua mwana JF hapa we mvizie tu akigawa PIN yake.
U nataka kunijua mimi...
Jamani,dunia hii,we acha tu!
Nimemtembelea rafiki yangu mmoja {sio mhehe} na akanikaribisha chakula mezani,ambapo kulikuwa na ugali na kuku,na chps na nyama!
Nyama ile ilikuwa inanukia...
Yaani kijana alipata mdada wa kimakonde ,toto limejaziajazia kila kona na amechanja machale uso mzima na pia alikuwa na ndonya ,vyote hivyo vilimpendeza na kumfanya kijana ashindwe kujizuia na...
Kuna vitu visivyoelezeka hunitokea mara kwa mara kama ifuatavyo:
1. Uko ofisini au nyumbani busy kwenye meza yako. Simu iko juu ya meza, na tangu ulipoanza shughuli masaa mawili nyuma, hakuna mtu...
STOP BOASTING . Some are proud of
Blackberry phones,BBM is now even in Techno
phones. Some are proud of ipadtablet
computer not knowing that Secondary students
at Osun State are using it...
Hii mambo imenitokea leo wakati nilipoamua kwenda kulala kwa kale kabinti kangu ka buguruni....sasa baada y kumaliza kugegedana nataka nivae nguo zangu...loh tafuta sana boxer bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.