JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
hujambo? shikamoo.. nmekumiss sana mtu wangu. mbona umeadimika sana kama hips za nyoka? wajikoni anasemaje? hana habari mpya mpya?. paw nasikia alikuandikia barua kwamba anataka kujivua gamba...
0 Reactions
67 Replies
6K Views
Kuna misemo ya bongo huwa naipenda sana, embu cheki huu “KULIKO KIOZE, HERI NIMPE JIRANI YANGU”. Hahahahaha Embu na wewe tupia msemo wako unaokufurahisha sana.
2 Reactions
71 Replies
53K Views
Mchaga mmoja alikuwa na mtoto wa kike kila siku alikuwa anaenda dukani kwake kuomba hela ya kusuka. Mtoto: mama,baba nimemuomba hela ya kusuka kaninyoa nywele Mama: una bahati ungemuomba...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
0 Reactions
1 Replies
2K Views
1 Reactions
1 Replies
524 Views
Rubani mmoja aliagizwa kupeleka wagojwa wa akili(vichaa)afrika ya kusn,wakiwa ndan ya helocopta mara wale vichaa wakaanza kupiga kelele huku wakicheza michezo mbalimbal,yule ruban aliboreka sana...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
habari ndio hiyo. sasa hivi nimembandika. kumbandua hadi ntakapo jiskia. hivi sasa nina uwezo wa kumbandika member yoyote aliye jf na kumbandua nitakavyo. so usijaribu kuingia anga zangu. wkend...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Najiuliza hawa wanawake wa Tunisia wanaoenda kugegedwa syria na waasi kwa kupokezana huwa wana akilu zao timamu au ndo washalishwa unga wa ndere?kuna ukweli wowote wa mafundisho ya dini...
3 Reactions
36 Replies
6K Views
Nilikuwa na girlfriend wangu ambaye tulipendana na tukawa na maisha ya furaha na tulipanga tutaoana mapema. Ila kuna kitu kilikuwa kinaniumiza akili,si kingine bali ni mdogo wake wa kike mwenye...
6 Reactions
24 Replies
4K Views
Ninarudi toka Safari yangu. Wale waliotaka zawadi mnikumbushe niwaletee..!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Je unajua kuwa 2 = 1? Wataalam wa hesabu tunasema kuwa kama x=y basi 2x=2y kwahiyo 2x-x = 2y-y si sawa? Maana yake ni kuwa 2x-2y = x-y hapo hakuna ubishi naamini. Hii ni sawa na kusema...
1 Reactions
48 Replies
8K Views
Kuna kajimtihani kadogo,umeenda dukani kununua sukari kilo 1 lakini kwa bahati mbaya mwenye duka hana jiwe la kilo moja lakini ana jiwe la kilo 10 na la kilo 7.Swali atafanyaje ili aweze kukupimia...
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Mara yako ya kwanza kujua kama kuna mtandao wa kijamii(Jambo/JamiiForums)ilikua wapi? Ulisimuliwa au uliona Tangazo au ilikuaje mpaka ukafika HUKU? Mimi binafsi niliijuwa kupitia Mwanahalisi...
1 Reactions
51 Replies
3K Views
Watu wengi sana hapa wanaogopa kufunguka. Mimi naweza, Hivi ndivyo vitu tatu navipenda sana. 1. Reggae Music 2. Colour ya blue 3. Computers and technology stuff Nani mwingine aweza 'dare talk...
1 Reactions
57 Replies
3K Views
Mambo vipi wadau,,,yeyote ambae anaweza kunipa kampani ya mtoko usiku huu namkaribisha....
0 Reactions
8 Replies
1K Views
hihihihihiihihihihhhhhhh teh teh teh.......................!
1 Reactions
25 Replies
2K Views
kati ya nyumba na ndege ipi ina paa juu?
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Jamani hawa wenye simu za blackberry wanakera kweli facebook. Unakuta mtu eti pin yangu 7c....ni add, so what????? Achaneni nazo, njooni huku ios7 muone ilivyo bomba!
1 Reactions
46 Replies
3K Views
Hi MMU Attendants!! Check Hawa Celebrities: MADONNA Is 55 Her BF Is 22,TINA TURNER 75 Her BF 40,JLO 42 Her BF 24!!!
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Jamaa mmoja kutoka mkoani singida, aliungana na wenzake kumi kuelekea Bukoba kwenye mkutano wa vijana, Walipofika huko waliwakuta kina Muganyizi na byarugaba wakioga kwa bomba a.k.a maji ya mvua...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom