JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mfugaji mmoja alikwenda kwa mfugaji mwenzake (ambae pia ni bwana mifugo wa eneo lao) asubuhi moja. Alipobisha hodi mtoto wa kiume wa umri upatao miaka 12 akamfungulia mlango. Mazungumzo yafuatayo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Juzi nilikuwa naenda kazini nikamuacha mume wangu nyumbani anaangalia TV, gari langu likazima ghafla kiasi cha kilomita moja toka nyumbani. Nikaona nitembee mpaka nyumbani kumwomba mume wangu aje...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Kitendo cha ng'ombe kumaliza huku anatembea ni kujali muda ama uzembe?
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Simu inaita binti anapokea: Hallo mpenzi, mambo? Jamaa upande wa pili: Poa baby, uko wapi? Mimi niko town napata lunch. Binti: Wow! Nice. Unarudi saa ngapi? Nina njaa dear nataka uniletee...
6 Reactions
13 Replies
6K Views
Ni game ya kiushkaji matusi no matani zaidi... natoa sentesi ya matani neno la mwisho unaanza nalo wewe kisha utakalo maliza ataanza nalo mwenzako...wa mwisho ndo mshindi... oke lets go--> sura...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
useng'hwe nashokile nalenaja mabhulaya namenhelile bipi nanyama
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani nampenda King'asti, King'asti kama kweli unampenda Paw mwambie anipe ban ya mwaka nihakikishe kwa macho yangu Paw kama upo tayari kutumia cheo chako cha mod kuniban basi poa tu nipe ban...
8 Reactions
145 Replies
10K Views
Nimekumiss sana mzee mwenzangu, vip uko likizo au mana sijapigwa ban mda mrefu sana. Msalimie shemeji mwambie nimemmiss sana.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kitu John alishangaa sana alipoona dada yake anakojoa akiwa kachuchumaa, si unajua yeye alizoea kuchuchumaa wakati wa haja kubwaaa! Faster kamfuata mama yake aliyekuwa sebuleni na wageni na kumpa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Jamaa fulani alikuwa na tabia ya kujamba kwa nguvu kila aamkapo asubuhi. Mkewe alikerwa sana na tabia hiyo, alimkataza akachoka, siku moja akamwonya kuwa iko siku badala ya ushuzi, utumbo...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
AMAA alienda KUPOSA kwa SHEHE" SHEHE.Yani Umekuja kuposa huku una tafuna big G! Jamaa.Natoa harufu ya sigara 2. SHEE.Unavuta sigara? Jamaa. Huwaga baada ya kulewa. SHEE. Kumbe unalewa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna methali inasema 'watakusema mchana Usiku watalala ' sasa kama anayenisema ni mlinzi je ....?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna mama mmoja alimsihi binti yake asidanganyike na mafataki lakini badala ya kusema straight yeye akamwambia binti yake asikubali mwanaume yeyote kulala juu yake akifanya hivyo ataharibikiwa...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
jamaa alikua amekaa siti ya mwisho dirishani huku amefungua kioo kutipisha upepo. gari liko kwenye foleni na ilikua inatembea taratibu sana. kwa kua mda wa kazi ulikua unakatika akaona ni bora...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu nataka kum-surprise mpenzi kwa kumnunulia a new sexy pant tatizo sijui jinsi ya kudetermine size yake anayovaa na nikimuuliza itaharibu maana halisi ya surprise. Ila anaendana kidogo na bi...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Kuna nyumba ya mlevi mmoja nje kuna shimo kubwa la maji bila mfuniko. Siku moja karudi usiku kalewa tooooop, mambo yakawa hivi: MUME: Fungua mlango! MKE: Leo sifungui! Nimechoshwa na ulevi wako...
2 Reactions
10 Replies
6K Views
Rugaimukamu: Hivi Rweyongeza, kare katoto kako Gozbert kako wapi siku hizi? maana nakumbuka karikuwa dull darasani mwenzake Albert ni daktari bingwa sasa! Muchunguzi: Ee Albert kumbe ni mtaaram...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
MTIHANI WA MAARIFA YA DUNIA: Instructions:- Muda: 10 Seconds. - Majibu mpe mwenzako. JIBU MASWALI YOTE 1...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
JF imejaa post nyingine za kuhuzunisha, kukasirisha, kufurahisha, bac kabla hujaendelea furahisha macho kidogo. Msemo kucheka huongeza maisha bila shaka umeusikia Hizi ni baadhi ya very short 3D...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom