hujambo? shikamoo.. nmekumiss sana mtu wangu. mbona umeadimika sana kama hips za nyoka? wajikoni anasemaje? hana habari mpya mpya?. paw nasikia alikuandikia barua kwamba anataka kujivua gamba...
Kuna misemo ya bongo huwa naipenda sana, embu cheki huu
KULIKO KIOZE, HERI NIMPE JIRANI YANGU. Hahahahaha
Embu na wewe tupia msemo wako unaokufurahisha sana.
Mchaga mmoja alikuwa na mtoto wa kike kila siku alikuwa anaenda dukani kwake kuomba hela ya kusuka.
Mtoto: mama,baba nimemuomba hela ya kusuka kaninyoa nywele
Mama: una bahati ungemuomba...
Rubani mmoja aliagizwa kupeleka wagojwa wa akili(vichaa)afrika ya kusn,wakiwa ndan ya helocopta mara wale vichaa wakaanza kupiga kelele huku wakicheza michezo mbalimbal,yule ruban aliboreka sana...
habari ndio hiyo. sasa hivi nimembandika. kumbandua hadi ntakapo jiskia. hivi sasa nina uwezo wa kumbandika member yoyote aliye jf na kumbandua nitakavyo. so usijaribu kuingia anga zangu. wkend...
Najiuliza hawa wanawake wa Tunisia wanaoenda kugegedwa syria na waasi kwa kupokezana huwa wana akilu zao timamu au ndo washalishwa unga wa ndere?kuna ukweli wowote wa mafundisho ya dini...
Nilikuwa na girlfriend wangu ambaye tulipendana na tukawa na maisha ya furaha na tulipanga tutaoana mapema.
Ila kuna kitu kilikuwa kinaniumiza akili,si kingine bali ni mdogo wake wa kike mwenye...
Je unajua kuwa 2 = 1?
Wataalam wa hesabu tunasema kuwa kama x=y
basi 2x=2y
kwahiyo 2x-x = 2y-y si sawa?
Maana yake ni kuwa 2x-2y = x-y hapo hakuna ubishi naamini.
Hii ni sawa na kusema...
Kuna kajimtihani kadogo,umeenda dukani kununua sukari kilo 1 lakini kwa bahati mbaya mwenye duka hana jiwe la kilo moja lakini ana jiwe la kilo 10 na la kilo 7.Swali atafanyaje ili aweze kukupimia...
Mara yako ya kwanza kujua kama kuna mtandao wa kijamii(Jambo/JamiiForums)ilikua wapi?
Ulisimuliwa au uliona Tangazo au ilikuaje mpaka ukafika HUKU?
Mimi binafsi niliijuwa kupitia Mwanahalisi...
Watu wengi sana hapa wanaogopa kufunguka. Mimi naweza,
Hivi ndivyo vitu tatu navipenda sana.
1. Reggae Music
2. Colour ya blue
3. Computers and technology stuff
Nani mwingine aweza 'dare talk...
Jamani hawa wenye simu za blackberry wanakera kweli facebook. Unakuta mtu eti pin yangu 7c....ni add, so what?????
Achaneni nazo, njooni huku ios7 muone ilivyo bomba!
Jamaa mmoja kutoka mkoani singida, aliungana na wenzake kumi kuelekea Bukoba kwenye mkutano wa vijana,
Walipofika huko waliwakuta kina Muganyizi na byarugaba wakioga kwa bomba a.k.a maji ya mvua...