habarini
Kwa wale ambao wako tayari kwenda MOI Hospital waniPM ili tujue orodha yao
na tutakutanika palepale Moi Hospitali na kuanza kuingia ndani kumuona mwenzetu Inkoskaz , hivyo jiandae mapema...
Niliona shati zuri dukani linauzwa sh. 97,000. Kwa kuwa sikuwa na pesa nikakopa kwa baba elfu 50 na kwa mama elfu 50, jumla nikawa na sh. 100,000. Nikalipia shati sh. 97,000 nikarudishiwa chenji...
Hatimae wezi nao wametangaza mgomo,wamegoma wakishinikiza siku zao ziongezwe,badala ya siku za mwizi "AROBAINI" wanataka ziwe "THEMANINI" kweli Tanzania bila migomo haiwezekani,weka mali zako nje...
Kuna pastor
mmoja hupenda
kuchangamsha
waumini wake
wakati wa
mahubiri kwa kuwaambia
"Mwambie jirani yako
Yesu
anakupenda"
Siku nyingine akawa
anahuburi kuhusu wanawake wasio
pata mimba
akaambia...
Ni true story wadau.
Hivi majuzi maeneo ya Misugwisugwi Picha ya Ndege , ndugu zetu Wazaramo walimkamata mwizi.
Panja huyo alikua ameiba godoro , baada ya kukamatwa alikiri kuiba.
Kilichofata...
Siku moja Yesu alikuwa na wanafunzi wake nyikani, baada ya mafundisho marefu na jua kali wanafunzi wake walihisi njaa. Yesu alifahamu mawazo yao akasema,"Petro kalete jiwe", Petro alinyanyuka...
1. siku ya MS kuchukua kadi CDM
2. Siku ya MS kawa Mkristo
3. Siku ya Makamba na Lema kubadilishana vyama
4. siku ya Kongosho kupost kwenye jukwaa la siasa
5. siku ya waberoya/kiranga/mwita25...
Huyu dogo anakuharibia jina sana ... mtu akiangalia haraka post yoyote iliyopostiwa naye hushtuka na kusema huyu ni H.O.E kweli?? Ukija kuangalia vizuri kumbe ni H o d basi unapumua na kusonya...
Jamaa mmoja alikua na njaa sana siku moja,ikabidi apige magoti na kuomba akiwa kwake "eehhe! Mungu naomba unijalie niokote angalau elfu mbili, naahidi elfu moja ntairejesha kwako kama sadaka na...
Tangazo:
Mtu mwenye watoto 10 atazawadiwa milioni 50, jamaa mmoja baada ya kusikia tangazo akamwambia mke wake, sisi tuna watoto 9, ila nikwambie mke wangu mimi nina mtoto 1 nje ya ndoa, naomba...