JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
true story imetokea two weeks now, kuna Kabinti kalitoroka na lijamaa raia wa mtaani kakaenda gest mishale ya nne usiku, wenzie wakanokolea kwetu walimu, tulikuwa walimu wanne tukamsaka gest kama...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Mimi ni mgeni humu jf naomba mnipokee
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau! nimejaribu kuvumilia, kumeza dawa, kukimbia, kuchat ili kuweka hali sawa lakini wapi!! I'm on the way to hospital.. Pray for me its terrible!!
1 Reactions
92 Replies
5K Views
Habari zenu marafiki na wapendwa SHINDANO LA KUMSAKA MTU MWENYE MVUTO WA SURA MBAYA WA CC - 2013 Naomba msinikazie macho wala kunipa ban kwaajili ya shindano hili sikutaka nilete shindano hili...
15 Reactions
266 Replies
25K Views
Jamaa yuko na demu wake wanapata vyao mara Gafla jamaa kapitiwa na kupumua(kujamba) Demu: Bby pole umeumia.. Jamaa: Kidogo c sana.. Hayo ndo mapenz yenyewe
0 Reactions
0 Replies
3K Views
guyz.................. he/she whu tastes too much developes a peachant for tasting hence is never satsified by anybody.....namaanisha kuwa kutokuwa kwako na msimamo wa kuwa na msululu wa wenza...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
sijui kamas hili ni jukwaa linalofaa kwa hili. Natimiza miaka 44 leo, si umri mdogo hasa ukizingatia aina ya maisha ya sisi wa dunia ya tatu. Wakati nikiungana nanyi kujitakia siku njema, naomba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kijana mwenye umri wa miaka 24 akiwa ndani ya treni alitazama nje na kupiga kelele... "Baba, tazama miti inarudi nyuma!" Baba alitabasamu. Watu wawili waliokuwa wamekaa pembeni walimtazama...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Miaka michache ijayo IBADA zinaweza kuwa hivi; Mchungaji; "Bwana asifiwe! Waumini; Ameen! Mchungaji; "Tuchukue Laptops, iPad, Tablets na Simu zetu tufungue Wakorintho 13:13! Pia washeni...
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Mara nyingi tumekutana na watu wanaume kwa wanawake waliojipamba kupitiliza utakuta kijana wa kiume kanyoa kiajabuajabu halafu kaweka rangi hizo nywele halafu katoboa masikio kavaa hereni shingoni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
(1)kwenye daladala (2)disco (3)kanisani/msikitini (4) ulipokosea namba ukipiga simu ndo ikawa mwanzo wa kujuana (5)kwenye sherehe/msibani (6) bar/hotelini (7) facebook (8)barabarani...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Maongezi ya hawara na buzi lake yalikuwa hivi:- BUZI: mpenzi wangu tangu nimekununulia nyumba na gari naona mapenzi yamepungua! HAWARA: kwanini mpenzi? BUZI: siku hizi huniambii asante kwa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Hivi kusingekua na mawingu tungekua tunaona nini mtu ukitazama juu...eti
0 Reactions
3 Replies
1K Views
UTAMUELEWAJE JOHN joni alimtembelea galfrend wake aliyemwalika msosi wa jioni. Ghafla jioni ile bado akiwa kwa girlfriend wake mvua ilinyesha kubwa sana na haikupungua kwa muda mrefu. Wazazi wa...
5 Reactions
45 Replies
9K Views
Hebu tuambizane pa kuonana, nipo kwa visiku viwili vitatu
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Girls are very hard to understand,they are busy looking for hard working men yet they dont respond to greetings given bt brick layers ooooooh!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Demu kampigia cm boyfrnd wake »mwanadada» halloo mpenzi uko wapi? »Jamaa»nipo mahali napata lunch »mwanadada»mm mwenyewe nackia njaa ucsahau kuniletea namim,chipc kuku,mayai ma3,ndizi 5...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika simu! BOY: Hello baby boo... uko wapi? nimekumiss mwenzio! GIRL: Honey, niko samaki samaki hapa napata lunch, then namsubiri driver wangu aje kunichukua anipaleke chuo... Wewe uko...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
japo nimezaliwa na rangi ya mitume lakini nimejikuta natumia muda mwingi kutumia masabuni na mafuta flani ili nizidi kuwa mweupe..natakiwa nifanye nini ili niridhike na rangi yangu?
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Guys mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24,natafuta mchumba mwenye kuijua dini ya kiisilamu..aliyetayari ani PM
0 Reactions
2 Replies
872 Views
Back
Top Bottom