Yesterday I posted a thread. I said I was new here and I joined to chat with ladies. I expected to be welcomed and to have some friendly conversation. All I met was in contrast with my...
Natamani jumanne ndio ingekua sikukuu ili tuliunge kuanzia leo, kesho, keshokutwa na mtondogoo.. maana kama ni movies mtu unakamua hadi zinakoma.. maana kusafiri nako mtu ujipange, anyway weekend...
Madem bwana,
we ukiwa Tandika afu ye akiwa Kibaha utasikia
" mapenzi gani hayo ya kuwa mbali na mpenzi wako, mi siyawezi. Tafuta mwingine"
ila ukiwa USA sasa Utamsikia
"bebi ujue mi...
Baada ya kukosekana hapa kwa muda mrefu, ndugu zangu leo nimeona niwajulishe kuwa nimerudi rasmi na nitaendelea kuonekana mitaa hii ya nyumbani.....
nataraji ushirikiano mzuri. Nimeshtuka kuna...
habari zenyu bhaana. Najua haina majotroo, nina mdg wangu amepata mchumba wa kinya2ru, ameniuliza kama najua sifa zao bahti mbya sizifahamu. Msaada tafadhali wa ndugu kama kunawanaozifahamu. Thanx...
habari wakuu poleni na majukumu ya kila siku, mara nyingi mahusiano mapya wapenzi huwa sio halisi yaani kila mmoja hupenda kuficha zile tabia zake halisi yaani kila zuri lake (pretending) but kuna...
::
Ewe ndege mwema,
Kiumbe unaesifika,
Maneno yako ya mizani,
Upendo uso kifani,
Huna wa kuwa mfano,
Kwa uzuri wa moyo,
Ee Lisa
I can't stop my love for you
::
Chini ya mti wa upole...
Habarini marafiki
Leo hii nimesoma thread ya Inkoskaz imenihuzunisha na kunifanya nione huruma juu yake. Thread hii ina kichwa cha habari kisemacho "Tafuteni nanyi mtaona, bisheni mtafunguliwa...
Jamani ukweli lazima usemwe, katika akina dada wa humu FJ, lara 1 anatisha.
Nina muda mrefu nikiwa naingia JF kama guest, lakini recently nimeamua kujiunga na JF. Kwa muda wote, katika comments...
Kuna siku nilifungua thread ya kutafuta mchumba huko love connect (mkabala na mmu),nashukuru wafuatao walini PM kuniomba uchumba na wengine wakanitupia na picha zao wakiwa kwenye pozi (wakibisha...
A pilot was transporting a bunch of madmen from KCMC Hospital to a psychiatric facility overseas.
The madmen were making noise. So, one of them (MANGI) entered the Pilots Cabin ;
MANGI:Teach...
JWTZ-Jeshi la Wakuria Tangu Zamani
CCM-Chama cha Mafisadi
SM-Siamini Mgambo
............................
...........................
..........................
ongeza
Nyingine zinanuka
Nyingine haziendani na rangi ya Nguo uliyovaa
Nyingine ni chafu ajabu
Nyingine zimechakaa zina matobo
Nyingine za mtumba
Nyingine kama hizo ulizovaa
Kama ilivyo kwa...
There is only one beautiful lady in this world, thats is a Miss from Filipo and she is Miss world now!
Na huyu si mwingine ila ni ubavu katika ubavu wangu, nyama katika nyama zangu, nae ni my wife...
Ndugu zangu wapendwa,
Nimeona litakuwa ni jambo jema ikiwa tutafanya mpango wa "kuorganize" shindano la kumtafuta Miss JF. Kama mnavyojua "JF is the Home of Great Thinkers", pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.