Haoo!
Break hadi ukweni, mshenga na wazazi,
Wanazama kwa mtarajiwa wangu shansarie.
Wanasomewa taratibu za kufuata!
Hapo kila kitu kinapigwa kwa hesabu
thamani inagota 7.2million...
Kwa kweli wakuu jioni yangu ya leo nime enjoy kwa kushiriki katika ibada maeneo ya Goba kwa Dr.Mosha ambapo ma paroko mbalimbali walikuepo na kufunga mzunguko wa msalaba katika jumuiya mbali mbali...
Ndugu wadau wa Chit chat Salaam...
Leo nawaletea khabari njema za vijana walioamua kuihama rasmi kambi ya ukapera na kuamua kuingia katika JELA ya ndoa wakiwa na matumaini kibaao.. Kijana...
Naomba mnisamehe kama nitakua nimemkwaza mtu; ni katika kusaidiana na kupeana muongozo.
Nini dawa ya ndugu wavivu...
Unamtafutia ajira, anaacha baada ya muda visingizio haviishi...
Kujiajiri...
Tightrope Walker:
There was a tightrope walker, who didincredible aerial feats. All over Paris, he would do tightrope acts attremendously scary heights. Then he had succeeding acts; he would do...
wahaya kwabwebwe bana. Jamaa alikua anajitambuli kwenye sherehe kwamba nimfanyakazi wamochwali ila cki bwebwe zake. Kwajina naitwa lweimamu kamugisha mushombos i am working in national bugando...
MziziMkavu hii ni salamu ya Lugha yetu adhimu yenye mamlaka kwa watu waliondani ya ubongo na mtima wangu, bro nakupa hii hadhi, wengine ni Wiyelele-huyu amepotea jukwaani, Preta, tayari nishampa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.