JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Baada ya JK kuwaga maneno ya busara kwenye kikao, Faiza Foxy asikika..., Bofya usikilize..
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Ulipojiunga JF ukaingia jukwaa la utambulisho ulipokelewa na watu wangapi na akina nani,nani alikuvunja moyo na nani alikutia shime Mimi nilipokolewa na watu Kumi,hawa wafuatao 1.Mshume Kiyate...
2 Reactions
91 Replies
5K Views
naomba msaada kwa yeyote anae jua jinsi ya kudownload adobe pdf niliyo nayo kila nikifungua inaniambia lincence adobe rider expired nisaidieni wana jf
0 Reactions
0 Replies
977 Views
Mke: Hello, beiby uko wapi sasa?? Mume: Ooh! sweet nikosafarini kuelekea kwenye mapenzi. Mke: Mapenzi gani tena wakati umetoka tu sasa hivi jamani. Mume: Naenda kufuata ua nipambe meza yetu au...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamaa alikuwa akifanya kiwandani na kila siku alikuwa anafanya overtime. Bosi wake akamuita na kumsifu sana na kumuahidi akiendelea na moyo huo angemhakikishia kumpa cheo kikubwa katika muda...
2 Reactions
26 Replies
7K Views
Mshikaji kakosana na mpenzi wake, wamenuniana kama siku tatu hivi, mshikaji anaishi Tabata, binti anaishi Ukonga. Siku ya tatu jamaa akaamua amtumie SMS binti ya kumuomba msamaha yaishe...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
"Bisha ubishavyo,kataa ukataavyo lakini jua kidonda cha mapenzi hakifungwi bandeji!
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Jamaa:haloo mrembo una mpenz? Binti:hapana sina mpenzi. Jamaa:mwanzo 2:18 bwana mungu akasema, ''si vema huyu mtu akawa peke yake ntamfanyia msaidizi wa kufanana nae''. Binti:lakini mimi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hii ni kwa sisi tulioshi kidogo maeneo yenye vichaka,hivi ni kwa nini mtu unapoingia kujisaidia haja kubwa kichakani,lazima ugeuke ulikotoka na kuchuchumaa kwa zoezi hilo,na kwa haja ndogo...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
@sosoliso Tumrjaribu kukuonya sana husikii Paloma atakufikisha huku achana naye !!! na hii inawahusu Filipo na vivian Arushaone na Lady doctor Erickb52 na Chocs inasermekana mwisho wao ni huhuuu
9 Reactions
191 Replies
9K Views
Its a Sunday, smd it seemd so dull here. Let's talk about anything!
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Kwa wale wanaopenda uroda wa manzese kuweni makini mno, kuna kitu kinaitwa tatu bila au kabang mix Hii ni ngono chafu ya wawili au watatu,ya wawili iko hivi kwenye romance mwanaume unapeleka...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tabia ya kupuuza ujumbe ni mbaya,Mgonjwa mmoja bubu alikuwa ICU,anapumulia gesi.Mchungaji akaja kumwombea akiwa anaomba gafla mgonjwa akachukuwa peni na karatasi akaandika ujumbe akampatia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
American,A pakistan and an indian were travellling in a plane to india. the american boasting of their wealth said to others, "we hv enough money so l'm throwing my money out" saying this he...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za long week end!! Nimejiuliza hili swali wiki yote hii tangu jumatatu hadi jana ijumaa kuwa sehemu ya nyuma ya mwanamke inafahamika kwa majina mbali mbali kama ya kichwa cha habari ya...
1 Reactions
84 Replies
8K Views
Mods hebu niambie BAN ya faiza foxy a,k,a jembe inakwisha lini? Maana nusu mwaka sasa hayupo hapa' ff kama umebadili ID pls ni pm japo nijue uwepo wako hapa maana nakukubali ileile
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Good girls go to heaven..... Bad girls go everywhere
0 Reactions
0 Replies
791 Views
jamaa moja alionekana kwenye msiba analia sana akaulizwa vipi aliye kufa ni nani kwako? jamaa akajibu kaka w a mke wa maiti ni mjomba wangu.je maiti ni nani kwake?
0 Reactions
22 Replies
3K Views
mbarikiwe sana na wimbo huu uliotungwa na ndugu Bernard Mukasa na kuimbwa na kwaya ya Mt Kizito Makuburi. -------------------- Nimetafakari habari zako nami nashindwa kuelewa kabisa Binadamu...
0 Reactions
0 Replies
12K Views
Acha kutoa macho mi napitaaa tuuu.
0 Reactions
3 Replies
932 Views
Back
Top Bottom