Mkunde Original
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 807
- 647
Habari za long week end!!
Nimejiuliza hili swali wiki yote hii tangu jumatatu hadi jana ijumaa kuwa sehemu ya nyuma ya mwanamke inafahamika kwa majina mbali mbali kama ya kichwa cha habari ya thread hii. Na mwanamke mwenye uvungu au mgomgo wa kutosha na unaotikisika basi huwa sumaku kwa macho ya watu wengi mitaani anakopita. Ila kuna wanawake wana mbunye au uvungu ambao hautikisiki kabisa yaani kama jiwe iwe mwembamba au mnene.
Sasa mienataka nipungue kidogo nipunguze nyama uzembe ila uvungu wangu sitaki upungue maana si mkubwa sana nahisi ukipungua na mwili utakuwa mkavu. Swali, nifanyaje nipunguze sehemu za tumbo pembeni na mbele ila uvungu wangu ubakie hivihivi bila kupungua ili uwe unatikisika sio sana kidogoo tuu (ni fahari au wanawake huwa wanajiamini akifahamu kuwa anakauvungu ka kugeuza watu shingo au kuwafanya watu wamsindikize kwa macho ila si kwa fedheha).
Nimechelea kujiunga na mazoezi ya kutembea na wakina Mtambuzi nikihofia kupungua mwili wote maana mwili wangu huwa una react haraka sana kwenye mazoezi.