Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,789
Ahaaa!
Yani liko inbitwin ya la Kimanyema na la Kidosi.
Kwengineko wanaita potabo! Kama skosei .
Last edited by a moderator:
Hivi mbunye ni kitu gani LD?
Nimekumbuka hebu wasiliana na Lady doctor aisee lol utapona haraka
nataka kweli hebu niambie basi Heaven on earthExcellent ni kweli unataka kujua
nataka kweli hebu niambie basi Heaven on earth
Ahaaa!
Yani liko inbitwin ya la Kimanyema na la Kidosi.
Kwengineko wanaita potabo! Kama skosei .
aaaaaah acha kunizungusha si useme tu lovito nijue
Excellent anataka nini wii?
aaaaaah acha kunizungusha si useme tu lovito nijue
lavito we haya tu kumbe unanionea aibu,mwaka huu nitaokota embe chini ya mtende kwa mtindo huusa lovito mie naona aibu.....
maneno mengine thiwedhi thema hadharani
eti maana ya Mbunye...sa we dactari waweza elezea vizuri
Hawa wadau !
Shughuli mpya hii hapa!
Afu muende mdogomdogo, kasi ktk kuiandika id ya mtoamada "mkunde" mkibugi Ban haiko mbali.
Mkunde nimekupenda ghafla!
kunywa chai moto ilowekwa tangawizi ya kutosha au supu ya pili pili ilochanganywa na ndimu za kutosha kila asubuhi na usiku kabla ya kulala...mi ilinisaidia sana