Je, naweza kufanya mazoezi bila kupunguza wowowo...?

Je, naweza kufanya mazoezi bila kupunguza wowowo...?

kunywa chai moto ilowekwa tangawizi ya kutosha au supu ya pili pili ilochanganywa na ndimu za kutosha kila asubuhi na usiku kabla ya kulala...mi ilinisaidia sana

ulipungua kwa kiasi gani?
 
Fanya mazoez ya kukata tumbo na nyama za pembeni wowowo itabaki ivo ivo
 
hewaaa hivyo hivyo

potabo easy to carry.....

mkeo lake lafall wapi!!!!!!

It's not easy to carry only! As if it's potable!
Easy for so many thin!
Mke wangu anamiliki la kisomali , hata likiwa ndani dera ramani yake inajichora.
 
Fanya mazoez ya kukata tumbo na nyama za pembeni wowowo itabaki ivo ivo

Shem ww lako unali maintain vipi?
Sema machache ktk hili ,
kama lina-vibrate, hua unatupa mawe , shingo hukusindikiza n.k n.k
 
kunywa chai moto ilowekwa tangawizi ya kutosha au supu ya pili pili ilochanganywa na ndimu za kutosha kila asubuhi na usiku kabla ya kulala...mi ilinisaidia sana

Na tumbo lake liwe zima , kama langu apo baada ya siku 4 nipelekwe hospital.
 
Sasa bi dada kama una mafuta mengi maeneo ya tumbo siwezi kukuahidi kwamba utapungua tumbo tu bila kupungua inye coz inabidi ufanye mazoezi ya punguza hilo tumbo na ZUMBA ni mazoezi mazuri kwaajili ya maeneo ya tumbo kwasababu unakuwa unakata mauno sana...Ila pia unamove sana miguu na hips kwahio maeneo hayo pia yatapungua kiasi na utakuwa na misuli madhubuti....
Jaribu pia kufanya mazoezi ya kukaza misuli ya tumbo mfano sit ups,mountain climbers n.k
 
Eti... wewe uliyerusha Uzi umesaidika kweli! Maana discussion imehamia Kwenye MBUNYE lol

Hapa lazma asaidike!
Sisi wengine hatuna maskhara na issue zenye maslahi ya kitaifa kama hizi .
Ushauri mwingine tunampa ktk kukata tumbo, alimelime bustani ya mboga, kisha achumemboga sana.
 
easy,changanya aina zote za pilipili kali zoote unazozijua zipike kama unavopika supu...sasa uko chooni ndo utakaposov tatzo lililotajwa kwenye uzi uuu
supu ya pilipili intengenezwaje?afu ukienda chooni inakuwaje?
 
Back
Top Bottom