Ungekuwa mzazi wa huyu binti ungetoa uamzi gani kwa boyfriend wake (John)

Mtamile

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
2,838
Reaction score
1,275
[h=5]UTAMUELEWAJE JOHN
joni alimtembelea galfrend wake aliyemwalika msosi wa jioni. Ghafla jioni ile bado akiwa kwa girlfriend wake mvua ilinyesha kubwa sana na haikupungua kwa muda mrefu. Wazazi wa binti walipoona hali hiyo ya hewa wakamshauri joni alale pale kwao. Baba alienda chumbani, mama alipeleka vyombo jikoni na binti alienda kutayarisha chumba cha Mgeni (John ) na kumwacha joni sebuleni. Baada ya shughuli zao waliporudi sebuleni hawakumkuta joni. Walimtafuta kila kona ya nyumba bila mafanikio. Mara ghafla walimwona joni amerudi kabeba mfuko mweusi akiwa amelowa chepechepe. Walipomuuliza kulikoni? Aliwajibu ''nimeenda nyumbani chapu chap kuchukua nguo za kulala''
[/h]
 
Huyu Joni mshenzi kabisa, hana adabu,, yaani ningemfukuza na panga mpaka nihakikishe ameingia ndani kwao......
 
[h=5]UTAMUELEWAJE JOHN
joni alimtembelea galfrend wake aliyemwalika msosi wa jioni. Ghafla jioni ile bado akiwa kwa girlfriend wake mvua ilinyesha kubwa sana na haikupungua kwa muda mrefu. Wazazi wa binti walipoona hali hiyo ya hewa wakamshauri joni alale pale kwao. Baba alienda chumbani, mama alipeleka vyombo jikoni na binti alienda kutayarisha chumba cha Mgeni (John ) na kumwacha joni sebuleni. Baada ya shughuli zao waliporudi sebuleni hawakumkuta joni. Walimtafuta kila kona ya nyumba bila mafanikio. Mara ghafla walimwona joni amerudi kabeba mfuko mweusi akiwa amelowa chepechepe. Walipomuuliza kulikoni? Aliwajibu ''nimeenda nyumbani chapu chap kuchukua nguo za kulala''
[/h]
hiyo kali
 
Ahhhha.................inafurahisha sana but John was an opportunist.....ameona asilazie damu hiyo nafasi....
 
Back
Top Bottom