Ungekuwa mzazi wa huyu binti ungetoa uamzi gani kwa boyfriend wake (John)

Ahhhha.................inafurahisha sana but John was an opportunist.....ameona asilazie damu hiyo nafasi....

Na kweli aisee bahati huwa haiji mara mbili
 
UTAMUELEWAJE JOHN
joni alimtembelea galfrend wake aliyemwalika msosi wa jioni. Ghafla jioni ile bado akiwa kwa girlfriend wake mvua ilinyesha kubwa sana na haikupungua kwa muda mrefu. Wazazi wa binti walipoona hali hiyo ya hewa wakamshauri joni alale pale kwao. Baba alienda chumbani, mama alipeleka vyombo jikoni na binti alienda kutayarisha chumba cha Mgeni (John ) na kumwacha joni sebuleni. Baada ya shughuli zao waliporudi sebuleni hawakumkuta joni. Walimtafuta kila kona ya nyumba bila mafanikio. Mara ghafla walimwona joni amerudi kabeba mfuko mweusi akiwa amelowa chepechepe. Walipomuuliza kulikoni? Aliwajibu ''nimeenda nyumbani chapu chap kuchukua nguo za kulala''
Ungemwambia rudi tena nyumbani na nguo zako ukalale...
 
hahaha..,.! Mi ningelimwambia akazirejeshe kwao nguo zilizoroa, aje mkavvuu
 
tetetetetetetetetetetetetetett jamaa alikuwa kapania kweli kweli
 
[h=5]UTAMUELEWAJE JOHN
joni alimtembelea galfrend wake aliyemwalika msosi wa jioni. Ghafla jioni ile bado akiwa kwa girlfriend wake mvua ilinyesha kubwa sana na haikupungua kwa muda mrefu. Wazazi wa binti walipoona hali hiyo ya hewa wakamshauri joni alale pale kwao. Baba alienda chumbani, mama alipeleka vyombo jikoni na binti alienda kutayarisha chumba cha Mgeni (John ) na kumwacha joni sebuleni. Baada ya shughuli zao waliporudi sebuleni hawakumkuta joni. Walimtafuta kila kona ya nyumba bila mafanikio. Mara ghafla walimwona joni amerudi kabeba mfuko mweusi akiwa amelowa chepechepe. Walipomuuliza kulikoni? Aliwajibu ''nimeenda nyumbani chapu chap kuchukua nguo za kulala''
[/h]

walipomuulza maswal kadhaa joni kaona isiwe shida kakimbia tena hom chap kurudsha nguo afu karud kuja kulala
 
Aisee kuna watu ni majasiri!!!!!!!!!!!!
Nimecheka sana aisee, kha..........
 
Back
Top Bottom