Kwa wale ambao wako tayari kwenda MOI Saturday

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
habarini

Kwa wale ambao wako tayari kwenda MOI Hospital waniPM ili tujue orodha yao
na tutakutanika palepale Moi Hospitali na kuanza kuingia ndani kumuona mwenzetu Inkoskaz , hivyo jiandae mapema kwani JUMAMOSI hii ndo tunakwenda na itakuwa
ni jioni saa 10. Jiandae kwa chochote ulichonacho, au hata kama huna kule kwenda
tayari umefanya jambo zuri sana na unajiwekea hazina ya baadaye hivyo onyesha
moyo wa kupenda wengine na kuwajali pale wanaopopata na matatizo.

Kwa wale ambao wanapenda kutoa michango yao wawasilishe kwa KIONGOZI
WETU Mtambuzi kwa namba hizi 0715 / 0752 729292

PICHA HII YAONESHA ALIVYOKUWA MWANZO KABLA YA AJALI
View attachment 114684

BAADA YA AJALI ANGALIA HAPA:

View attachment 114686

cc: Mtambuzi, KakaKiiza, Jiwe Linaloishi, Bujibuji, jouneGwalu, Robert Masaku Jr, Paloma, amu, Mamndenyi, Smile, cacico, gfsonwin, ?@Mentor, sweetlady Asprin, Kipaji Halisi, Mwita Maranya, monaco,

na marafiki wengine wengi ambao
wako Darwing niPM ili niweke idadi hiyo na kama yuko yule ambaye anataka kwenda binafsi
basi asisisite kuwasiliana na mgonjwa au awasiliane nami kwa kuniPM nimuelekeze namna ya
kufika hapo MOI.

Kwa atakayeguswa anakaribishwa

sign.jpg
Ladyf
 
Last edited by a moderator:
Dah, hii taarifa imenishtua sana.

Namuombea sana katika kipindi hichi anachopigania uzima wake, Mungu wangu mwenye nguvu akazidi kumjalia afya na uzima kwa kadiri ya mapenzi yake!

Ahsante kwa taarifa sistaa, ndagha fijho!

Nina mpango wa kumzukia Mtambuzi mitaa yake hivi karibuni so nta-confirm kupitia kwake wala usijali.

Sana tuzidi kumuombea mwenzetu, katika hali hiyo maombi yanauwezo wa kufika karibu yake zaidi kuliko kingine.
 
Last edited by a moderator:
Member wa JF wanasikitisha sana kuuchangia tu mtandao wao huu pendwa ni mbinde ila siwakatishi tamaa wazo hili, binafsi nimebanwa sana na majukumu sintokuwepo siku hiyo ila nitachangia chochote kitu.

Ila ningependa kujuwa yuko wodi za Private au yuko huku kwenye wodi za Muhimbili?

I have good connection pale Moi with some specialist. mleta mada naomba kama hujari nipm kwa ufupi a to z ya mgonjwa ili nijuwe najitolea vipi na vitu kama bima ya afya na family financial status. Give me this details in private.
 
Naomba nikupitie Mamndenyi ila natoa salamu zangu za pole kwa majanga aliyopata ndugu yetu Inkoskaz Namombea sala hii na mungu ampe wepesi wakupona haraka maana miguu ni kila kitu <<<<<ehe mungu mponye haraka akahudumie familia yake na wanaomtegemea kwanjia moja au nyingine ninaomba haya kwakuwewe ndiye muumba nandiye mkuu wakila kila kitu kilichopo chini najuu!!Nikatika jina lako tukufu>>>> Amen!
 
Last edited by a moderator:
Amen,
Barikiwa sana.

Poa karibu.

nasikitika kwa mengi kwanza sipo dar sitoweza kujumuika na nyie wenzangu ila natumai kila kitu kitaenda sawa tutajumuika kidijital nimewamiss dar wing jamaniii leo tupo hapa loooo.Ila tupo wote kwa hili
 
Last edited by a moderator:
Hujafa hujaumbika...Mungu ni mwema mkuu Inkoskaz kwa wema wake naamini atakurejeleshea tena uzima
 
Last edited by a moderator:
Nitakuwepo,
habarini

Kwa wale ambao wako tayari kwenda MOI Hospital waniPM ili tujue orodha yao
na tutakutanika palepale Moi Hospitali na kuanza kuingia ndani kumuona mwenzetu Inkoskaz , hivyo jiandae mapema kwani JUMAMOSI hii ndo tunakwenda na itakuwa
ni jioni saa 10. Jiandae kwa chochote ulichonacho, au hata kama huna kule kwenda
tayari umefanya jambo zuri sana na unajiwekea hazina ya baadaye hivyo onyesha
moyo wa kupenda wengine na kuwajali pale wanaopopata na matatizo.

Kwa wale ambao wanapenda kutoa michango yao wawasilishe kwa KIONGOZI
WETU Mtambuzi kwa namba hizi 0715 / 0752 729292

PICHA HII YAONESHA ALIVYOKUWA MWANZO KABLA YA AJALI
View attachment 114684

BAADA YA AJALI ANGALIA HAPA:

View attachment 114686

cc: Mtambuzi, KakaKiiza, Jiwe Linaloishi, Bujibuji, jouneGwalu, Robert Masaku Jr, Paloma, amu, Mamndenyi, Smile, cacico, gfsonwin, ?@Mentor, sweetlady Asprin, Kipaji Halisi, Mwita Maranya, monaco,

na marafiki wengine wengi ambao
wako Darwing niPM ili niweke idadi hiyo na kama yuko yule ambaye anataka kwenda binafsi
basi asisisite kuwasiliana na mgonjwa au awasiliane nami kwa kuniPM nimuelekeze namna ya
kufika hapo MOI.

Kwa atakayeguswa anakaribishwa

View attachment 114687
Ladyf
 
asante sana kwa kunikumbusha na kuwaweka
jmosi tutakutanika pale MOI kumuona hivyo jiandaeni vyema kuwepo jamani
nitafurahi zaidi kama wanaleo tupo hapa mtajitokeza kwa wingi zaidi ya kwenye vikao vya mitulinga leo tupo hapa naongezea list ladyfurahia kuna watu naona umewasahau Vin Diesel Mulama snowhite mwaJ watu8 Kijino Mtambuzi yule kaka aliyekuja lthp hapa mweusi mweusi nimeisahau id yake ahaaa nimeikumbuka monaco vivian Jeska Mwita Maranya na wana tanga wing wooooooteeee tushiriki kidijital daaamn so touching jamani
 
je utakwenda kibinafsi? au jmosi ?

Back
Top Bottom