Kwa wale ambao wako tayari kwenda MOI Saturday

nitafurahi zaidi kama wanaleo tupo hapa mtajitokeza kwa wingi zaidi ya kwenye vikao vya mitulinga leo tupo hapa naongezea list ladyfurahia kuna watu naona umewasahau Vin Diesel Mulama snowhite mwaJ watu8 Kijino Mtambuzi yule kaka aliyekuja lthp hapa mweusi mweusi nimeisahau id yake ahaaa nimeikumbuka monaco vivian Jeska Mwita Maranya na wana tanga wing wooooooteeee tushiriki kidijital daaamn so touching jamani
Asante amu kwa kuniiita. Mie sitaweza kuwepo hiyo jumamosi ila nitawasiliana na Mtambuzi. Mpeni mgonjwa pole sana.
 
Last edited by a moderator:
nitafurahi zaidi kama wanaleo tupo hapa mtajitokeza kwa wingi zaidi ya kwenye vikao vya mitulinga leo tupo hapa naongezea list ladyfurahia kuna watu naona umewasahau Vin Diesel Mulama snowhite mwaJ watu8 Kijino Mtambuzi yule kaka aliyekuja lthp hapa mweusi mweusi nimeisahau id yake ahaaa nimeikumbuka monaco vivian Jeska Mwita Maranya na wana tanga wing wooooooteeee tushiriki kidijital daaamn so touching jamani

Mungu amtie nguvu apone haraka....nashukuru kwa taarifa amu...
 
Last edited by a moderator:
wallah nilikuwa sijui hii kitu,Mwenyezi Mungu akusaidie upate kupona haraka na kurejea kwenye mihangaiko ya siku zote.kumbuka kuomba Mungu, nami,nasi tunakuombea inkonskaz, inshaallah
 
Last edited by a moderator:
nitafurahi zaidi kama wanaleo tupo hapa mtajitokeza kwa wingi zaidi ya kwenye vikao vya mitulinga leo tupo hapa naongezea list ladyfurahia kuna watu naona umewasahau Vin Diesel Mulama snowhite mwaJ watu8 Kijino Mtambuzi yule kaka aliyekuja lthp hapa mweusi mweusi nimeisahau id yake ahaaa nimeikumbuka monaco vivian Jeska Mwita Maranya na wana tanga wing wooooooteeee tushiriki kidijital daaamn so touching jamani
Amu...DUUUU i will be there on that date...SHARING IS CARING.
God is able....UWEPO Wetu that day utafaraji sana sana.
Thanks "lets Travel together".....
 
Nimeshtushwa na Ajari aloipata ndugu yetu inkoskaz,jaman naweka wazi ntakuepo Moi siku ya jumamosi..
Wewe utakuepo?
C.C Mamndenyi ,mimi49,etc
 
tutakutanika pale pale MOI majira saa 10 jioni ngoja tupate details zaidi toka kwa mkuu Mtambuzi jinsi itakavyokuwa
Nimeshtushwa na Ajari aloipata ndugu yetu inkoskaz,jaman naweka wazi ntakuepo Moi siku ya jumamosi..
Wewe utakuepo?
C.C Mamndenyi ,mimi49,etc
 
Last edited by a moderator:
zubedayo_mchuzi,
leo nilifika eneo asubuhi
Pengine nimewahi sana he didn't receive my call,
Ikabidi nigeuke. Ila naamini Mungu anaendelea kumtuza sana.

Back
Top Bottom