Ndugu zangu leo ni siku ya walimu. ili kuwaenzi waalimu, tutaje majina ya walimu ambao hatuwezi kuwasahau ikiwezekana na majina ya utani. Mimi Naanza na MWALIMU KANGAHAWE...
Kufuatia mara chungu tele , nisikiavyo mambo mengi ya Tija , Faraja ama Maendeleo yatukiayo ktk Nchi hii , yatajwapo tu , kisha hufatiwa ama huanzwa na maneno kama :-
"Kwa hisani ya watu wa...
............................
>>>>Ndugu<<<<
>>>>>Je!<<<<<
>>>>Wajua<<<<
>>>>Kirefu<<< >>>>>Cha<<<<
Asubuhi njema?
""""""""""""""""
A =Amka
S :sali
U =Ukiamini
B =Bwana Mungu
U...
Ijuma iliyopita vivian watu8 Filipo Maskron DEMBA Kaizer mimi49 farkhina Mamndenyi rafikimkweli mwallu na shosti Chocs kwa pamoja tulipata Dinner ya pamoja Maeneo ya masaki Dids and was really an...
Inawezekana, naulizia for directions, au nauliza kama unamfahamu bibi yake mkubwa shetani..au kama kwenu mnauza mayai ya kuku wa kienyeji au labda nakuomba unipe lifti kwenye mgongo wako..
Sasa...
Girl : "Forgive me father for I have
sinned."
Priest : "What have you done my child?"
Girl : "I called a man a son of a bitch."
Priest : "Why did you call him a son of a
bitch?"
Girl ...
KWA AMBAO KINAPANDA.. COMMENT IN ENGLISH PLS
Caller: Hello, can I speak to Annie Wan ?
Operator: Yes, you can speak to me.
Caller: No, I want to speak to Annie Wan!
Operator: Yes I...
Koho! Koho!. Habari zenu wakuu! Kwa mujibu wa mabadiliko ya hali ya mapenzi na upungufu wa joto la kupendana duniani, mamlaka ya udhibiti wa mapenzi imetoa majina na maana yake kwa wakati huu...
Ukiwa mwenge kituoni ile asubuhi abiria wa naosubiri gari za posta ni wengi sana ila cha kushangaza mtu anasimamawee pale kusubiri gari za posta wakati anashuka aidha Victoria makumbusho au...
Hello wanajamii!
Mwenzetu Lady doctor anaumwa hivyo nawaomba kwa pamoja tushirikiane kumpa faraja na kumuombea apone haraka!
Shem namuomba Mungu akushushie mkono wake wa uponyaji upone haraka...
Jamaa fulani walikuwa wakitembea mmoja wao akasikia kiu,wakaenda wakabisha hodi nyumba iliyokuwa jirani, mara akatokezea mtoto kijana wa kiume, wakamwambia wanasikia kiu wanaomba maji ya kuywa...