Hii ndio sababu pekee inayonifanya nizidi kumpenda

Hii ndio sababu pekee inayonifanya nizidi kumpenda

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,914
Reaction score
168,320
Last edited by a moderator:
Hapo lazima alipaniki, labda ushu.zi ulitoka.
 
Hahahaaa...... Hapo lazima Mamndenyi nae ajibu kibabe kuwa '' nilikuwa nakutania honey hata mi nilikuona hapo siti ya nyuma nikavunga tu.'' ili aibu iishe lol!
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi huwa namfikiria. anaonekana kama ni mtu flan wa dizain flan wa aina flan ambae ntamuelezea cku Flan
 
Last edited by a moderator:
Kuna siku atakwambia "ndy napanda ndege!" kumbe ndy kapanda juu ya stuli anapachika balbu!
Duu jimama ongo hili !
 
Ha ha haaaa
Haaa
Haaaa

Yaani wewe mwanaume sina hamu na wewe,
umejuaje haya lakini,
Halafu wewe ngoja siku yako ipo tu.

Bujibuji:Hello baby uko wp nmekumiss,
Mamndenyi; hny nko SAMAKI SAMAKI hapa napata LUNCH then namsubiria DRIVER wng aje kunchukua anpeleke Shopping Quality Centre , we upo wp swt?
Bujibuji:npo siti ya nyuma ndani ya hii DALADALA ya MBAGALA uliyopanda nlitaka kukwambia NIMESHALIPA nauli!

CC:- watu8, mwaJ, ladyfurahia, MadameX Kipaji Halisi, Mtambuzi
 
Judgement hivi unakumbuka wakati ulitaka nikawe
mkaze mjomba wako nikamkataa?

Kuna siku atakwambia "ndy napanda ndege!" kumbe ndy kapanda juu ya stuli anapachika balbu!
Duu jimama ongo hili !
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom