Hii ndio sababu pekee inayonifanya nizidi kumpenda

Hii ndio sababu pekee inayonifanya nizidi kumpenda

Lady doctor mamaa la ukweeee
Vipi ujauzito umekaa sawa sasa
au bado vihoma homa vya asubuhi.

Mimba za uzeeni hivyo na shosti wangu Kongosho na mke mwenzio Madame B
zitawakomesha.

Hahahaaa...... Hapo lazima Mamndenyi nae ajibu kibabe kuwa '' nilikuwa nakutania honey hata mi nilikuona hapo siti ya nyuma nikavunga tu.'' ili aibu iishe lol!
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji unajijua kabisa leo uko zamu lindoni
unaanzisha thread unamwachia nani akujibie
point less zako ulizoandika hapa.

Bujibuji:Hello baby uko wp nmekumiss,
Mamndenyi; hny nko SAMAKI SAMAKI hapa napata LUNCH then namsubiria DRIVER wng aje kunchukua anpeleke Shopping Quality Centre , we upo wp swt?
Bujibuji:npo siti ya nyuma ndani ya hii DALADALA ya MBAGALA uliyopanda nlitaka kukwambia NIMESHALIPA nauli!

CC:- watu8, mwaJ, ladyfurahia, MadameX Kipaji Halisi, Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:
Lady doctor mamaa la ukweeee
Vipi ujauzito umekaa sawa sasa
au bado vihoma homa vya asubuhi.

Mimba za uzeeni hivyo na shosti wangu Kongosho na mke mwenzio Madame B
zitawakomesha.

umekaa sawa sasa, hizi mimba za mwaka huu zinavyotupelekesha we acha tu.

Madame B popote ulipo ugua pole mpenzi nakuombea sana upone!
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa
umenichekeshaje shostito kumbe hana gari mkeo Mamndenyi?
yote hiyo ni mikwara yake
Bujibuji:Hello baby uko wp nmekumiss,
Mamndenyi; hny nko SAMAKI SAMAKI hapa napata LUNCH then namsubiria DRIVER wng aje kunchukua anpeleke Shopping Quality Centre , we upo wp swt?
Bujibuji:npo siti ya nyuma ndani ya hii DALADALA ya MBAGALA uliyopanda nlitaka kukwambia NIMESHALIPA nauli!

CC:- watu8, mwaJ, ladyfurahia, MadameX Kipaji Halisi, Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:
ladyfurahia
Jichekee, sie wakulima magari tunayasikia tu huko mujini,
huku shamba hata tukiuza korosho hela yote inaishia kulipa madeni
ya pembejeo za kilimo tulizokopeshwa na chama cha ushirika.

hahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa
umenichekeshaje shostito kumbe hana gari mkeo Mamndenyi?
yote hiyo ni mikwara yake
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom