Cantalisia tatizo mama yako kigeugeu sana, nakumbuka alipokuwa na mimba yako ndio alikuwa anaingia kwa mara ya kwanza kutoka migombani, basi nikamsimulia kuwa kuna chakula kinaitwa chips mayai, ilikuwa ni mara yake ya kwanza kulisikia hilo neno, hata kulitamka alikuwa hawezi alikuwa akiita chupi za mayai, basi nikaona bora nimnunulie, kisha nimletee ale...
Basi kuanzia siku hiyo akawa hataki chakula kingine isipokuwa chips tu, eti ni chakula cha migombani.
Kwa hiyo usijishangae sana, kwanini unapenda chips