Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,366
sista duu ya mujini ameumbuka
Cantalisia tatizo mama yako kigeugeu sana, nakumbuka alipokuwa na mimba yako ndio alikuwa anaingia kwa mara ya kwanza kutoka migombani, basi nikamsimulia kuwa kuna chakula kinaitwa chips mayai, ilikuwa ni mara yake ya kwanza kulisikia hilo neno, hata kulitamka alikuwa hawezi alikuwa akiita chupi za mayai, basi nikaona bora nimnunulie, kisha nimletee ale...
Utaweza lakini? Mimi na Cantalisia ni kufa na kuzikana!!!Kumbe mapenzi yako na Rejao hayajafikia hizi level!? Nitafanya mapinduzi!
Mapinduziiiii, daimaaaa!!!!
Utaweza lakini? Mimi na Cantalisia ni kufa na kuzikana!!!
sista duu ya mujini ameumbuka
Cantalisia tatizo mama yako kigeugeu sana, nakumbuka alipokuwa na mimba yako ndio alikuwa anaingia kwa mara ya kwanza kutoka migombani, basi nikamsimulia kuwa kuna chakula kinaitwa chips mayai, ilikuwa ni mara yake ya kwanza kulisikia hilo neno, hata kulitamka alikuwa hawezi alikuwa akiita chupi za mayai, basi nikaona bora nimnunulie, kisha nimletee ale...
Basi kuanzia siku hiyo akawa hataki chakula kingine isipokuwa chips tu, eti ni chakula cha migombani.
Kwa hiyo usijishangae sana, kwanini unapenda chips
Utaweza lakini? Mimi na Cantalisia ni kufa na kuzikana!!!
yaani wewe hili umelijua leo?Hahahaha ..Uongo mbayaa