Hii picha nimeona niilete huku baada ya kuikuta sehemu sehemu dah ikanikumnbusha zamani sana mimi nilikuwa naogopa Vunjajungu tu yaani kama yupo njiani basi siku ndio inakwa ishaharibika na...
Kwa sisi Wanaume ukiwa na pesa una uwezo wa kujenga penzi la dhati na mwanamke yeyote awe tajiri au masikini. Ila Wanawake wengi wenye Pesa hawana Penzi la dhati kwa wanaume Masikini.
Juzi kwenye hivi vipindi vya TV
ambavyo wadada wameshika hatamu
kutangaza, na huwa wanawauliza watu
mambo mengi tu nilisikia kali. Mdada
alikuwa kamkaribisha daktari wa
hospitali wa wagonjwa...
Una mtext mtu afu ananzisha maongezi yeye eti umepotelea wapi?? Yaani kukutext nianze Mimi halafu unanigeuzia kibao eti nimepotea!! Hivi hii kauli imeekaaje wadau??
Maana badala ya kusema za...
Hasira yaweza panda ukapiga mtu kofi kwa hasira kisha ukasema nisamehe? wengi twaweza kusema ndio.
waweza kumpiga kofi mama kwa hasira kisha ukasema nisamehe? wengi walisema hawawezi hata kama...
Mlevi kamkuta mlevi mwenzie analia nje ya baa;
KOLU: We vipi tena unalewa mpaka unalia? Au umeishiwa hela ya kunywa nikakununulie?
DOLU: Nimejitapikia, mke wangu mkorofi nikifika atanidunda sana...
Nyie mmezoea sijui mabaga na chipsi pale stiazi, mara sijui wapi nini nanini, ona sisi wa uswazi menu yetu kivyetu vyetu, sikia sasa tozi la uswanga likiagiza menu..
..... Nipatie miguu ya kuku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.