JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Tofauti kati ya wasichana wa UDSM na wasichana wa UDOM Kuna tofauti kubwa kati ya mabinti wa UDSM na wale wa UDOM. Mbali na kwamba wote ni wazuri na wamemeenda vidato lakini zipo tofauti kubwa...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Madadii na mashostito. Leo tunasherekes birthday ya Heaven on earth pale Chawote Bar. Usiku tunaenda kuumalizia zero Pub maandalizi yote yanaratibiwa na Baba V. Pale Chawote muwe makini na mizigo...
5 Reactions
36 Replies
3K Views
Ilikua ni darasani mwalimu akatoa jaribio kwa mfumo wa Insha! Na hakuna kufuta futa! Swali la kwanza; "Eleza ni chakula gani ambacho ukilipiwa hotelini unaweza kula! (5 marks) Wavulana; "Ugali...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa kuwa Mwanamuziki akifariki husindikizwa kwa NYIMBO, Askari au Kiongozi husindikizwa kwa kupiga Risasi au Mizinga. Kwa nini Mwalimu nae akifariki tusimsindikize kwa VIBOKO? Ni mtazamo tu jamani...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
BABA: Kati ya mimi na mama yako unampenda nani zaidi? DOGO: Nawapenda wote BABA: Mimi ningeenda Dubai halafu mamako akaenda London, we ungeenda wapi? DOGO: Ningeenda London BABA: Kwanini? DOGO...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Mlevi moja alipanda daladala konda akamwambia kwa hiyo tabia yako ya ulevi huwezi kufika mbinguni,mlevi akajibu kumbe mnaenda mbinguni nishushe kwani sikujua mi ninaenda kilabuni. wish u weekend...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Dear salary, As you are near to c ome home, Please stay with me even for little while You left me in such a sudden rush last month, I didn't even have time to tell your my plans. I am sorry...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau wa habari motomoto za Udaku leo tena gazeti lenu linakuja na vitu motomoto, Kwa hisani ya TANMO Bishanga na Elizabeth Dominic linashuka kama ifuatavyo. 1 zubedayo_mchuzi...
13 Reactions
109 Replies
6K Views
1: Mkimaliza kuongea, niambieni niendelee kufundisha. 2: Baba yako aliuza ng'ombe ili alete ng'ombe mwingine shuleni. 3: Kama unajua kuliko mimi, njoo ufundishe wewe. 4: Ulikuja peke...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kusali sana Starehe Kupiga mizinga Tapeli(Yahaya) Wizi( hata wa wake/waume za watu) Kujifanya matawi kumbe Loh...majanga Kupenda mabeki 3(ulevi mbaya kabisa ) Nk nk ...jitokeze waweza pata hata...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
We ng'ang'ania kumsubiri Mr. Right. Kila mtu unaona hafai. Muda unaenda. Itafika time unatatulia tu na Mr. Available na itakula kwako
0 Reactions
9 Replies
1K Views
WanaJf Naombeni mnisaidie kunipa cheats za GTA ya ps2
0 Reactions
7 Replies
1K Views
mimi weekend yangu ilianzia saa kumi, nimegida wee, sasa nipo home, wakuu yenu ikoje, umekunywa bia ngapi??? Mimi zimenitosha mazee, kupumzika kwanza.
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Salaam sana wana cc wote. Nahitaji gari kama hii hapa chini, Naona kama itanifaa kwenye kazi zangu ndogo ndogo za hapa na pale. Napenda mwenye gari kama hii hapa tuwasiliane ili niweze kununua...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Ivi ni kweli wanaume wako polygamous in nature yani huwezi ukawa na mwanamke mmoja?yani kuna cku niko zangu chuo na marafki nn tunadiscuss tu masomo ya darasani..sasa topic ikazuka eti mwanaume...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
1. Ile assignment haitakusanywa leo. 2. Lecturer kasafiri, kipindi hakuna had atakapo rudi. 3. Hiyo kazi mfanye kwa group, sio individual. 4. Hakuna presentation, mkusanye hivyo hivyo. 5. Hii...
2 Reactions
19 Replies
6K Views
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndoto zingine sio za kuota kabisa yaani chozi limenidondoka ndani ya ndoto baada kuona kikojoleo hakipo. Imebidi nipige maombi kwenye ulimwengu wa roho nimemuona zubedayo_mchuzi akiwa ameshika...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Jamaa: hello mrembo ,samahan una mpenzi? Binti: hapana sina mpenzi jamaa: mwanzo 2:18 Bwana Mungu akasema ,si vema huyu mtu awe peke yake nitamfanyia msaidizi wa kufanana nae binti: lakini mimi...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom